Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kutambulika Rasmi Kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
Tume ya Uchaguzi (NEC) itabadilishwa jina ifikapo Aprili 12, 2024 ambapo sasa itaanza kutambulika kama Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare…