The House of Favourite Newspapers

Coastal Union Yamganda Ali Kiba

UONGOZI wa Coastal Union umesema kuwa kuelekea msimu ujao hawana mpango wa kumuacha mchezaji wao Ali Kiba kwa kuwa wameridhika na uwezo wake licha ya kubanwa na majukumu yake. Kiba ambaye alisajiliwa msimu huu na Coastal…

TFF Yatoa Msimamo Kuhusu Ali Kiba

BAADA ya hivi karibuni baadhi ya watu kudai kuwa mchezaji mpya wa Coastal Union ya Tanga, Ally Salehe Kiba ‘Ali Kiba’ kuwa kanuni za Ligi Kuu Bara hazimruhusu kuitumikia timu hiyo katika ligi hiyo, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)…

Ali Kiba Hivyo Vipensi Vepee!!!!!

NYOTA kutoka kiwanda cha Bongo Fleva , Ally Salehe Kiba almaarufu kwa jina la Ally Kiba, amekuwa gumzo mjini kwa sasa kufuatia muonekano wake wa staili yake mpya ya mavazi ambayo haijazoeleka. Kiba ambaye staili yake ya sasa imezamia…

Queen Darleen Amfungukia Ali Kiba

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ- XTRA FIRST Lady wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanaisha Abdul ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa hajawahi kumkosa (kummisi) staa mwenzake wa Bongo Fleva, Ali Kiba ambaye kitambo alikuwa…

Treni Yapata Ajali Kibaha…

TRENI ya mwendo haraka, (DELUX), iliyokuwa ikitokea Kigoma kuja jijini Dar es Salaam, imepinduka eneola Ruvu mkoani Pwani jioni hii ya Januari 29, 2017.  Taarifa za awali kutoka eneo la ajali,zinaeleza kuwa takriban mabehewa 10…