The House of Favourite Newspapers
Tags:

RC Hapi Amshukuru Rais Samia

MKUU wa mkoa wa Mara, Ally Hapi, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kuwaamini vijana na kuwateua kwa ajili ya kufanya naye kazi katika serikali yake ya awamu ya sita. Hapi…

RC HAPI AMTUMBUA DAKTARI

IRINGA: Wananchi wa Kijiji cha Ukami katika Kata ya Mapanda, Tarafa ya Kibengu wametoa malalamiko yao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi kwa kudai kudhalilishwa na Mganga wa Mkuu wa Kitucha Afya cha Ukami, Dk. Andrew Kitwanga,…

Lukuvi Atumbua Mtu Iringa – Video

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi,  amemwondoa katika nafasi yake  Mkuu wa Idara ya Ardhi katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Wilbert Mtongani,  baada ya kubaini amefungua ofisi yake binafsi ambayo…