The House of Favourite Newspapers
Tags:

PSG, Gor Mahia Wapewa Ubingwa

WAKATI Ligi mbalimbali zikisimama kutokana na kusambaa kwa virusi vya corona duniani, Ligi ya Kenya imemalizwa kwa ubingwa kupewa Gor Mahia huku Ufaransa ubingwa ukienda kwa PSG. Kabla ya Ligi hiyo kumalizwa ilianza kusimamishwa…

Mambo Magumu Kwa Uchebe

Kocha Mkuu wa Abaluhya Football Club Leopards Sports Club 'AFC Leopards' ya Kenya, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji ana wakati mgumu katika ligi ya Kenya. Aussems ambaye amewahi kuhudumu katika Klabu ya Simba, kwenye msimamo wa ligi,…

Pacha wa Kagere Anukia Yanga

UNAMKUMBUKA mshambuliaji pacha wa Meddie Kagere kunako katika kikosi cha Gor Mahia ya Kenya, Jacques Tuyisenge,unaambiwa jamaa humuambii kitu kuhusu Ligi ya Tanzania huku akiweka wazi kuwa tayari kusajiliwa ndani ya Yanga kama itakuwa…

Hatma ya Kagere Simba Ipo Hivi

BAADA ya kuenea taarifa kwamba mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere yupo mbioni kutimka klabuni hapo, wakala wa mchezaji huyo, Patrick Gakumba, ameibuka na kufungukia hatma ya mteja wake huyo. Kagere aliyejiunga Simba msimu…