Mbeya City Yaingia kimataifa, Yalamba Dili Sawa na Timu za EPL
Mara baada ya pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara msimu wa 2022-23 (TPL) pamoja na Ligi kuu ya Uingereza (EPL) kufunguliwa siku za hivi karibuni, Klabu ya Mbeya City, Chelsea, Aston Villa, Newcastle United pamoja na Leicester City…