The House of Favourite Newspapers

Sugu arejea kwenye muziki

RAPA mkongwe na mmoja wa waasisi wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, Joseph Mbilinyi almaarufu Sugu, anarejea rasmi kwenye muziki baada ya kuanza mazoezi kwa ajili ya kurejea jukwaani baada ya ukimya mrefu. Hivi karibuni Sugu…

Wanaodaiwa Majambazi Sugu Wanaswa

JESHI la Polisi Mkoani Tanga limewakamata watu wanne wanaodaiwa kuwa ni Majambazi sugu waliokuwa wakitafutwa kwa muda mrefu katika wilaya ya Korogwe akiwemo kiongozi wa genge la uhalifu katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Tanga na nje…

Sugu: Tulia Aachane na Sugu

Aliyekuwa mbunge waJjimbo la Mbeya Mjini, kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi 'Sugu', amesema yeye hana mamlaka ya kumkabidhi ofisi mbunge wa sasa wa jimbo hilo kupitia CCM, Dkt. Tulia Ackson, kwani ofisi aliyokuwa akiitumia,…

Harusi ya Sugu inavyomtesa Faiza!

SHUGHULI ya harusi yake aliyoitangaza Mbunge wa Mbeya-Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ inamtesa kinoma mzazi mwenzake, Faiza Ally, kiasi cha kusitishe safari ya kurudi Bongo hadi shughuli hiyo ipite.  Akizungumza kwa WhatsApp na Gazeti la…