The House of Favourite Newspapers

Siri ya Mondi, Tiffah Yaanikwa

MSANII Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi kuwa karibu zaidi na mwanaye Tiffah kuliko Nillan kuna jambo limejificha, Risasi Jumamosi limedokezwa siri. Tangu watoto wa msanii huyo aliyezaa na Zarinah Hassan ‘Zari’ raia wa Uganda kutua…

Tiffah Awafunika Mastaa Bongo

TAFUTENI pesa siyo majungu! Ndivyo unavyoweza kusema unapomzungumzia mtoto wa staa mkubwa wa muziki Bongo na bosi wa lebo ya muziki ya Wasafi Classic baby (Wcb), nasibu abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’, Latiffah Nasibu ‘Princess…

Tiffah, Nillan kumponza Mondi

WATOTO wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ (4) na mdogo wake, Nillan Nasibu ‘Prince Nillan’ (3) wanaweza kumponza baba yao huyo na kujikuta akikwaa laana maishani mwake.  Mtabiri…

Mondi Ajirudi kwa Tiffah, Nillan

DAMU nzito kuliko maji! Hili limejidhihirisha baada ya mkali anayesumbua kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kujirudi kwa wanawe, Latiffah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ na Nillan Nasibu ‘Prince Nillan’. Watoto hao…

Kufuru Maisha Ya Tiffah Sauz

DAR: KUNA watu kwenye hii dunia wamezaliwa ili waitafune! Mtoto wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Tiffah, ni miongoni mwa viumbe ambao tangu wazaliwe, maisha yao ni starehe mwanzo mwisho, Risasi Mchanganyiko limekukusanyia habari hii!…

BWANA WA ZARI AMFANYIA KUFURU TIFFAH!

DAR ES SALAAM: Juzi Jumanne (Agosti 6, 2019), binti wa staa wa Afro- Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanamama mjasiriamali wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ aliangushiwa bonge la…

TIFFAH AMRUSHA ROHO BABA YAKE

 DAR ES SALAAM: Watoto wawili ambao ni uzao wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanamama mwenye pesa zake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ na Nillan Nasibu ‘Prince Nillan’,…

TIFFAH ANAVYOWAKALISHA WAZUNGU

MTOTO wa staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifa Nasibu Abdul ‘Tiffah’ amevunja rekodi ya kuwa mtoto wa kwanza kufikisha wafuasi ‘followers’ wengi (zaidi ya milioni 2) katika ukurasa wake wa…

UTATA WAIBUKA BETHIDEI YA TIFFAH

DAR ES SALAAM: WAKATI mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akitangaza maandalizi ya kufuru ya bethidei ya mwanaye Tiffah (pichani), utata umeibuka baada ya upande wa pili wa mzazi mwenziye msanii huyo, Zarinah Hassan…

BETHIDEI YA TIFFAH KUFURU

DAR ES SALAAM: Maandalizi ya pati ya kuzaliwa (birthday) ya bintiye ambaye ndiye uzao wake wa kwanza, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ (3), yamemfanya baba’ke ambaye ni staa wa muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutoa…

TIFFAH WA ZARI AITIKISA DUNIA

DAR ES SALAAM: Ametisha sana! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mtoto wa mjasiriamali mashuhuri Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Tiffah kuwa na wafausi wengi zaidi kuliko watoto wengi wa mastaa wakubwa duniani.…

DNA Ya Tiffah….

Musa Mateja na Issa Mnally, Dar es Salaam: Taarifa njema kwa Giant wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanaye Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’ kuwa hivi karibuni walipima vinasaba vya damu (DNA) na kujihakikishia kuwa…

Diamond, Tiffah Wapima DNA Sauzi

Mtoto Latifah Nasbu ‘Tiffah Musa Mateja, AMANI DAR ES SALAAM! Hii ni EXCLUSIVE stori! Kufuatia kelele kibao kutoka kwa wadau mbalimbali kwamba mtoto wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, yaani Latifah ‘Tiffah’ aliyemzaa na…

Mama ambana Diamond uhalali wa Tiffah

Mama wa staa wa muziki Bongo, Sanura Kassim ‘Sandra’. Brighton Masalu SINEMA limeanza! Sanura Kassim ‘Sandra’ ni mama mzazi wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ hivi karibuni anadaiwa kuingia katika figisufigisu na mwanaye…

Diamond: Wema amemharibu Tiffah

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Musa mateja Kila kitu ukizidisha ni sumu! Ndivyo ilivyotokea kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye anadaiwa kumtupia lawama mzazi mwenzake, Zarinah Hassan…

Zari amvua ‘hirizi’ Tiffah

NA HAMIDA HASSAN DIAMOND upoo! Zarinah Hassan a.k.a Mama Tiffah amechukua uamuzi mgumu wa kumvua mwanaye Tiffah ile dawa aliyokuwa amefungwa mkononi ‘hirizi’, hali iliyowafanya watu wengi wabaki na vingi viulizo. Awali, Tiffah alivishwa…

Pedeshee katunzi ataka DNA ya Tiffah

 Issa Mnaly na Musa Mateja MAKUBWA tena! Wakati Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akijinasibu kuwa mtoto Latiffa ‘Tiffah’ ni damu yake, pedeshee maarufu Bongo, Muzamil Katunzi ameibuka na kumtaka staa huyo wa Bongo Fleva kupima kipimo cha…

40 ya Tiffah yaacha Madeni!

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,  na mpenzi wake Zari wakiwa na mtoto wao Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’. https://www.youtube.com/watch?v=XP70rbMigMQ OHOOO! Kuna madai kwamba, ile pati ya kukata na shoka ya kutimiza…

Diamond: Nina hofu kunyang’anywa Tiffah

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akmbeba mwanaye, Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’. Musa Mateja Kazi ipo! ‘Kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amekumbwa na hofu ya kunyang’anywa mwanaye anayemuita…

Zengwe milioni 6 za Kajala kwa Tiffah!

Musa Mateja Imevuja! Yale mamilioni ya staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ aliyommwagia mwandani wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kama zawadi ya mwanaye, Latiffah…

Wema: Sherehe ya Tiffah haikunihusu

Staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu 'Madam'. Imelda Mtema Staa asiyechuja Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa hakuhudhuria kwenye 40 ya mtoto wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye alikuwa mpenzi wake kwa kuwa haikuwa inamuhusu. Staa wa…