The House of Favourite Newspapers

Mikutano Vyama Vya Siasa Yanukia

Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa agizo kwa Waziri wa Katiba na Sheria kuandaa kanuni zitakazoelezeka jinsi ya kufanya mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ambayo kwa muda mrefu ilikuwa imezuiwa. Rais Samia ametoa…

We Miss Them!

WE miss them so much (tumewamisi mno)! Ndivyo wasemavyo Watanzania walio wengi wakati huu zikiwa zimesalia takriban siku 20 kumalizika kwa mwaka 2021; mwaka unaoelezwa kutawaliwa na machozi kila kona kutokana na vifo vingi vya viongozi,…