×

Habari

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 31, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Mradi wa Sh. Bilioni 2.6 wa E-Mobility Wasainiwa na NMB Foundation, Mercy Corps

  Meneja Mkuu wa NMB Foundation, Nelson Karumuna (katikati), na Mratibu wa Mercy Corps Tanzania, Anthony Salota, wakionyesha makubaliano ya...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Viongozi wa Vyama vya Siasa Ikulu Dar – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Julai 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na...

READ MORE

TFF Yangaza Adhabu ya Kupokwa Pointi 5 kwa Timu Zitakazokwepa ‘Dressing Room’ – Video

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza hatua mpya za kinidhamu kwa timu zitakazoshindwa kutumia vyumba rasmi vya kubadilishia...

READ MORE

Picha za Zuchu Akiwa Mjamzito Zatikisa Mitandao, Diamond Avunja Ukimya – (Picha +Video)

Msanii wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu Diamond Platnumz ameibua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kushiriki picha inayomuonesha mpenzi wake,...

READ MORE

Furaha Buguruni! Meridianbet Yagawa Misaada kwa Familia Zenye Uhitaji

Meridianbet imeendesha kampeni ya kipekee ya kusaidia familia zenye uhitaji katika mtaa wa Mivinjeni kata ya Buguruni. Tukio hili limekuwa...

READ MORE

Prof. Adolf Mkenda: Wiki ya Taifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2026 Tufanyika Tanga

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametangaza kuwa Maadhimisho ya Wiki ya Taifa ya Elimu, Ujuzi na...

READ MORE

Nyumba ya Mwijaku Yazua Mjadala, Global TV Yafika Eneo la Tukio, Mlinzi na Mjumbe Wafunguka – Video

Taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa nyumba ya msanii na mtangazaji Mwijaku imezungushiwa utepe zimeibua mjadala mkubwa miongoni...

READ MORE

Simba Yaaga Kagame, Yaondolewa Kabla Ya Kumaliza Hatua Ya Makundi

Klabu ya Simba imeondolewa rasmi katika michuano ya CECAFA Kagame Cup 2026 baada ya kushindwa kufikisha idadi ya pointi zinazoweza...

READ MORE

Marekani Yaishambulia Iran kwa Nguvu, Baada ya Vituo vyake Kushambuliwa – Video

TEHRAN: Jeshi la Marekani limefanya mashambulizi makubwa dhidi ya Iran siku ya Alhamisi, likisema ni hatua ya kulipiza kisasi kufuatia...

READ MORE

Miaka 25 ya Mafanikio Ya Meridianbet Kusherehekewa UFC Fight Night Belgrade

Usiku wa kihistoria unakaribia kutawala ulimwengu wa michezo ya mapigano, huku Meridianbet ikijiandaa kuwa sehemu ya tukio kubwa la UFC...

READ MORE

Fahamu Mambo Muhimu Yasiyotakiwa Kupuuzwa Katika Gari Lako

Kila mmiliki wa gari anapaswa kuwa makini na alama ndogo ndogo zinazoweza kuashiria matatizo makubwa yanayoweza kusababisha ajali au gharama...

READ MORE

Nchi 10 za Afrika Zinazoongoza Kwa Kasi ya Mtandao wa Internet

Ulimwenguni hivi leo, kuwa na mtandao wa intaneti wenye kasi ni msingi muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Barani...

READ MORE

Filamu ya “The Odyssey” Yafikisha Bilioni 801 Kwa Siku 12, Yavutia Watazamaji

Filamu ya “The Odyssey” imeendelea kufanya vizuri katika mauzo ya tiketi duniani, ikifikisha mapato ya takribani dola milioni 304 sawa...

READ MORE

WhatsApp Yazindua Mfumo Mpya wa Simu Unaorahisisha Mawasiliano

WhatsApp imetangaza maboresho mapya katika huduma zake za simu, ikileta vipengele vipya vitano vinavyolenga kuboresha mawasiliano ya watumiaji, ikiwemo uwezo...

READ MORE

Sababu 7 Zinazofanya Maziwa Kuwa Muhimu kwa Afya ya Mwili

Maziwa ni moja ya vyakula vyenye virutubisho muhimu vinavyosaidia ukuaji na uimarishaji wa mwili. Kunywa maziwa kwa kiasi kinachofaa kunaweza...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 30, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Fahamu Mafanikio ya Rais wa Yanga, Hersi Said, Ndani ya Miaka Mitano

Tangu alipochaguliwa kuwa Rais wa Yanga mwaka 2022, Hersi Ally Said amekuwa sehemu muhimu ya safari ya mabadiliko makubwa ndani...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lafuta Zuio la Mikutano ya Hadhara, Latoa Masharti ya Kufuata – Video

Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuondoa zuio la mikutano ya hadhara lililokuwa limewekwa awali, likisema hali ya usalama nchini kwa...

READ MORE

CCM Yamteua Aggrey Mwanri Kuwa Naibu Katibu Mkuu Bara – Video

Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemteua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Mbunge wa zamani...

READ MORE

Bayport Yatoa Kompyuta na Printa za Milioni 100 Kuimarisha Elimu Kibamba

Dar es Salaam, Tanzania, 31 Julai 2026 – Bayport Financial Services Tanzania imeadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwake kwa kutoa...

READ MORE

Marekani Yazima Shambulio la Kombora la Iran, Trump Atuma Ujumbe Mkali – Video

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameahidi kutoa majibu makali baada ya wanajeshi wa Marekani kuzuia shambulio la makombora ya balistiki...

READ MORE

Mwanaume Mrefu Zaidi Afariki Dunia Akiwa na Miaka 33, Familia Yake Yafunguka Mazito

Ghana imegubikwa na majonzi kufuatia kifo cha Sulemana Abdul Samed, maarufu kama mwanaume mrefu zaidi nchini humo, aliyefariki dunia akiwa...

READ MORE

Simu 10 Zenye Kamera Bora Zaidi Duniani Mwaka 2026

Teknolojia ya kamera kwenye simu imepiga hatua kubwa kiasi kwamba kwa watu wengi simu za kisasa zimeanza kuchukua nafasi ya...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya CCM Zanzibar

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan, leo Julai 29, 2026, ameongoza Kikao Maalumu cha Kamati...

READ MORE

Katambi: Tanzania Haina Ugaidi, Lakini Kuna Viashiria vya Matendo ya Kigaidi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazozunguka kwenye mitandao ya kijamii, akisema baadhi...

READ MORE

Yanga Yamweka Depu Sokoni, Shalulile Atajwa Kuchukua Nafasi Yake

Tetesi za usajili zinaendelea kushika kasi zikidai kuwa Klabu ya Yanga inafikiria kumuuza mshambuliaji wake, Laurindo Dilson Maria Aurélio ‘Depu’,...

READ MORE

Zelensky Amwaga Sifa kwa Trump Baada ya Mkutano wa Kihistoria White House

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema amekuwa na mazungumzo yenye mafanikio na Rais wa Marekani, Donald Trump, ambapo Marekani imekubali...

READ MORE

Shigongo Cup 2026 Kuanza Rasmi Leo Buchosa, Iligamba vs Kanyala Kufungua Pazia, Ratiba Ipo Hapa

Mashindano ya Shigongo Cup 2026 yanatarajiwa kuanza rasmi leo, Jumatano Julai 29, 2026, kwa mchezo wa ufunguzi utakaowakutanisha Iligamba FC...

READ MORE

Netanyahu Akutana na Trump White House, Iran Yatawala Mazungumzo

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amewasili Ikulu ya White House mjini Washington kwa mazungumzo ya ana kwa ana na...

READ MORE

COSOTA Yatoa Leseni kwa TAVIC Kukusanya na Kugawa Mirabaha ya Wasanii – Video

Shirika la Hakimiliki Tanzania (COSOTA) limetoa leseni rasmi kwa Kampuni ya Tanzania Audio Visual Collecting Society (TAVIC) kuwa chombo cha...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 29, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Italia Yamrudisha Shujaa wa Euro 2020, Roberto Mancini Aandika Historia Mpya

Kocha mwenye uzoefu, Roberto Mancini, anatarajiwa kurejea kuinoa timu ya taifa ya Italia baada ya kufikia makubaliano ya kuiongoza tena...

READ MORE

Video: Waziri wa Ulinzi wa Israel Atoa Kauli Nzito Kuhusu Mashambulizi ya Iran

Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema ndege za kijeshi za Marekani zilitumia baadhi ya vituo vya kijeshi vya...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Balozi wa China, Apokea Ujumbe wa Xi Jinping

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepokea salamu maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Zelenskyy Kukutana na Trump Ikulu ya Marekani Kabla ya Mazishi ya Seneta Lindsey Graham

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, anatarajiwa kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump katika Ikulu ya White House kabla ya...

READ MORE

Mwanasheria Atoa Ufafanuzi Kuhusu Sheria ya Ugaidi Nchini – Video

Mwanasheria Nathaniel Samson amesema sheria ya ugaidi nchini Tanzania si jambo jipya, bali imekuwepo kwa muda mrefu kwa mujibu wa...

READ MORE

Rasmi! Zidane Ateuliwa Kuinoa Timu ya Taifa ya Ufaransa

Zinedine Zidane ameteuliwa rasmi kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ufaransa akichukua nafasi ya Didier Deschamps ambaye ameondoka...

READ MORE

Ndege ya Trilioni 5 Yazua Gumzo Kwenye Mitandao ya Kijamii – Picha

Picha na video za ndege ya kifahari inayofahamika kwa jina la Royal Wings zimeendelea kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya...

READ MORE

Mahakama Yaahirisha Kesi ya Uhujumu Uchumi Baada ya Ushahidi wa Polisi

Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imeahirisha hadi Agosti 4, 2026, kesi inayomkabili Mkurugenzi wa Atlantic...

READ MORE