Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi Awasili Dodoma kwa Kikao cha Kamati Kuu CCM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili uwanja wa ndege Dodoma na kupokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka.
Rais Mwinyi anatarajiwa kushiriki Kikao cha Kamati Kuu…
