Shigongo Afichua Madudu Ya Kutisha Ofisi Ya Mwigulu -”Wanaiba Fedha, Watakuingiza Kwenye…
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Taifa hili kila mtu anataka kuiba na wengi wao ni wasomi wanatumia kalamu kama silaha ya maangamizi.
Aidha Mbunge Shigongo amemshauri Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba wizarani kwake kuna…
