Kiongozi wa ACT Wazalendo Atangaza Mabadiliko katika Baraza Kivuli la Mawaziri
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Manka Semu, ametangaza mabadiliko katika Baraza Kivuli la Mawaziri la chama hicho baada ya mashauriano na Waziri Mkuu Kivuli Isihaka Mchinjita.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu…
