The House of Favourite Newspapers

IGP Mangu wanaokuchafua ni hawa

NA ERIC SHIGONGO Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai leo, hakika anastahili kuabudiwa leo na siku zote. Makala haya nazungumzia utendaji ndani ya jeshi la polisi kwani kuna askari ni wachapakazi kwelikweli lakini pia wapo…

Ukuta; Jaribio no 1 kwa Mwigulu

STORI: ELVAN STAMBULI, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Baadhi ya wananchi wameliambia Wikienda kuwa, jaribio namba moja la Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Lameck Nchemba ni tamko la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambalo limesema…

Utaratibu wa pf-3 utazamwe upya

NIANZE kwa kutoa pole kwa wananchi wa Kibatini mkoani Tanga kwa kupatwa na msiba mzito, baada ya wapendwa wao nane kuuawa kinyama wiki iliyopita. Licha ya tukio hilo kuwa la kutisha, pia linatoa somo na hadhari kwa vyombo vyetu vya…