Video: Jike Shupa Afichua Siri Kutaka Kujiua, Aangua Kilio Zaidi Ya Msibani – ”Maisha…
KWENYE EXCLUSIVE ya IMELDA MTEMA amepiga stori na video vixen aliyeuza nyago kwenye video ya Juma Nature na Nuh Mzimwanda, Jike Shupa ambaye amedunguka mengi ikiwemo maisha magumu anayoyapitia kutokana na kulea mtoto peke yake bila msaada…