The House of Favourite Newspapers

Kabila la Wala Watu-17

Mchungaji Johannes Veldhuizen, Mdachi aliyepania... ELVAN STAMBULI NA MTANDAO | UWAZI MWONGOZA watalii, Kornelius Kembaren aliyekuwa anawaongoza waandishi Paul Ruffael katika vijiji vya Kisiwa cha Papua New Guinea wiki iliyopita…

Kabila la Wala Watu-16

Wakati anatueleza hayo mara tukasikia sauti kali kutoka kwenye kichaka kilichokuwa karibu na pale tulipokuwa MAKALA: ELVAN STAMBULI NA MTANDAO | UWAZI Wiki iliyopita tulieleza jinsi Wamisionari wa Kidachi walivyoingia katika…

Kabila la Wala Watu-12

Wanaokula nyama za watu waliona bora miili wale wao kuliko kuoza na kuliwa na funza! ELVAN STAMBULI NA MTANDAO | UWAZI | SIMULIZI Naendelea kusimulia simuli­zi ya kweli kuhusu makabila ya Papua New Guinea ya­nayokula nyama za…

Kabila la Wala Watu, Sehemu ya 10

TULIISHIA wiki iliyopita kuelezea jinsi Wazungu waandishi wa habari wa Uingereza walivyojikuta wakiwa chini ya kabila hilo la wala watu la Karowai kutoka katika visiwa vya Papua New Guinea. Tulieleza kwamba kabila hili lina taratibu…

Haya Ndiyo Niliyoyaona Baharini-11

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: Ghafla nilifikicha macho kwani kama niliona kitu mbele yangu. “Vipi tena?” aliniuliza Nurdin baada ya kuniona nimetumbulia macho mahali. “Kama nimemwona.” “Nani?” “Bi. Sheila.” Na yeye aliangalia kule…

Haya Ndiyo Niliyoyaona Baharini-10

ILIPOISHIA GAZETI LA AMANI JANA: Ndani ya duka lile, tulikutana na wanawake watatu, kama Waraabu hivi, walivaa baibui ambao nao walikuwa wakinunua nguo za kike. Mwanamke mmoja akaniangalia sana kisha akaniambia: “Wewe nakufahamu ni…

Haya Ndiyo Niliyoyaona Baharini-9

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Bwana Tolu usifanye kitu chochote kile. Usipunge mikono juu wala usishuke kwenda chini. Wewe waangalie tu. Basi, niliwaangalia kweli kwani wenzangu wote walitulia wakiwaangalia tu. Waliendelea kutupungia…

Haya Ndiyo Niliyoyaona Baharini-6

ILIPOISHIA KWENYE GAZETI LA AMANI, JANA: Nahodha alivaa nguo zake, akamshukuru Mungu kisha akatangaza kuanza safari. Safari hii tulitakiwa kwenda kisiwa kinaitwa Papua New Guinea, lakini safari yenyewe sasa, ndani ya dakika arobaini na…

Haya Ndiyo Niliyoyaona Baharini-5

ILIPOISHIA KWENYE GAZETI LA IJUMAA: Lakini kwa sababu tunaondoka kesho yake nilimwambia itakuwaje, Nurdin akamjibia. “Tutachota maji ya bahari hakuna shaka.” Nilimwangalia Nurdin kama niliyetaka kumuuliza itawezekanaje? Yule mganga…