The House of Favourite Newspapers

Nsajigwa kocha mpya Yanga

NAHODHA na mchezaji wa zamani wa Yanga, Shadrack Nsajigwa, rasmi ni kocha msaidizi wa timu hiyo. Nsajigwa aliyekuwa anaifundisha timu ya vijana ya U20 anakuwa kocha wa timu hiyo akichukua nafasi ya Juma Mwambusi aliyekuwa…

Mzungu wa Simba atua Singida United

SINGIDA United iko kwenye mazungumzo ya mwisho na Mserbia, Goran Kopunovic aliyewahi kuinoa Simba. Kocha huyo mwenye mbwembwe ataanza kazi kwenye mechi ya pili ya michuano maarufu ya SportPesa inayoanza Januari 22 Jijini Dar es Salaam.…

Yanga Yamuacha Chirwa Dar

KIKOSI cha Yanga, jana kilielekea Kenya kwa ajili ya kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup huku kocha msaidizi, Shadrack Nsajigwa, Obrey Chirwa na Kelvin Yondani wakibaki Dar. Mbali na hao, pia Andrew Vincent ‘Dante’,…

Yanga: Waleteni Hao Simba

YANGA ipo mkoani Morogoro ikiendelea kujifua na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya watani wao wa jadi Sim­ba huku wachezaji wake nyota wakiingia kambini mkoani humo kujiandaa na mchezo huo. Timu hiyo imeweka kambi Morogoro…

Yanga sasa imekaa sawa

YANGA imewapa maneno matamu mashabiki wake kwa kusema sasa kikosi chake kimekaa sawa na kipo kamili kuweza kushinda mechi ya leo Jumamosi dhidi ya Lipuli FC. Yanga inacheza mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara kuanza mzunguko wa pili ikiwa…

Hii Sasa Ndiyo Yanga Yenyewe

LICHA ya Yanga jana kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC lakini kikubwa ambacho kilionekana kuwafurahisha mashabiki wengi wa soka ni namna beki wa kushoto wa vijana wao wa Jangwani, Gadiel Michael alivyofunga bao zuri.…

Ninja Arejea Mdogomdogo Yanga

BAADA ya kuikosa michuano ya Kombe la Mapinduzi, beki wa kati wa Yanga, Abdallah Saibu ‘Ninja’, amepata nafuu ya majeraha ya kifundo cha mguu na wiki hii anatarajiwa kuanza programu maalumu ya Mazoezi mepesi ya binafsi. Beki…

Panga La Mafaza Laja Yanga

PANGA kubwa ambalo litaondoka na mafaza kadhaa linakuja ndani ya Yanga, hii inatokana na mabadiliko makubwa yaliyoonyeshwa na wachezaji vijana kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi. Habari za ndani ya Yanga zinasema kwamba benchi la…

Sasa Ndiyo Mtaielewa Yanga

IKIWAKOSA nyota wake watano muhimu kwenye kikosi cha kwanza, Yanga itajitupa uwanjani leo Jumapili kuikabili Mbao FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara. Mechi hiyo ni muhimu kwa Yanga ambayo itataka kurudisha heshima yake baada…

Yanga Yatamba Kuipiga Mtibwa

YANGA leo inacheza na Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, lakini imetamba kushinda. Wakati Mtibwa ikiwa kileleni, Yanga yenyewe ipo nafasi ya sita ikiwa na pointi nane, lakini kocha msaidizi wa…