The House of Favourite Newspapers

Tambwe Kumwaga Machozi

MSHAMBULIAJI wa DTB, Amissi Tambwe amesema kuwa changamoto kubwa ambayo wanakumbana nayo katika ligi daraja la kwanza ni kuchezewa mpira wa kihuni kutokana na ligi hiyo kutoonyeshwa kwenye televisheni. Tambwe mpaka sasa amefanikiwa…

Yanga Yaahidi Kumlipa Tambwe

MABINGWA wa kihistoria Tanzania, Yanga wamesema kuwa hawajapokea taarifa rasmi za kufungiwa kufanya usajili na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Hiyo ikiwa ni siku moja tangu zianze kuzagaa taarifa za FIFA kuifungia…

Tambwe Awaonya Simba

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ameibuka na kusema kuwa kitendo cha uongozi wa Yanga kumsajili mshambuliaji, Saidi Ntibazonkiza wamefanya jambo sahihi. Yanga juzi usiku ilitangaza kumsajili mchezaji…

Tambwe Afichua Siri za Kocha Yanga

MSHAMBUALIAJIwa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe amefunguka kuwa Yanga imepata bonge la Kocha Cedric Kaze ambaye anapenda soka la pasi za chini huku akiwatahadharisha wapinzani wao wajipange kwa soka tamu la pasi. Tambwe ametoa…

Tambwe: Ninaruditena Yanga

MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu za Simba na Yanga, Mrundi Amiss Tambwe amefunguka kuwa bado ana ndoto za kurejea Yanga na kubaki hapo hadi atakapotundika daruga. Tambwe anasema katika moyo wake ameiweka klabu ya Yanga kwa…

Kisa Morrison, Tambwe arudi Yanga

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe, leo au kesho anatarajiwa kutua nchini kwa ajili ya kwenda kumuona straika mpya wa timu hiyo, Bernard Morrison akiupanda mpira tena wakati timu hiyo ikivaana na Mtibwa Sugar.…

Yanga Yamrudisha Tambwe Dar

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umedaiwa kuwa upo kwenye harakati za kutaka kumrudisha Mrundi, Amissi Tambwe kikosini hapo kwa ajili ya kuiongezea nguvu safu ya ushambuliaji ya timu hiyo. Hatua hiyo imekuja baada ya kutovutiwa na…

Tambwe Ataka Miezi Sita Yanga

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ameutaka uongozi wa klabu hiyo kumpa mkataba wa miezi sita ili arudi kikosini kwa ajili ya kuondoa ukame wa mabao uliopo hivi sasa. Tambwe ni mchezaji huru na yupo…

Tambwe Afurahia Maisha ya Oman

HIVI karibuni aliyekuwa msham­buliaji wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe alijiunga na timu ya Fanja ya nchini Oman na ataitumikia kwa mkataba wa miaka miwili. Hata hivyo, Tambwe ambaye anashikilia rekodi ya kuibuka mfungaji…

Tambwe Ampa Tuzo Kagere

KASI aliyonayo mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere katika utupiaji mabao umemfanya straika wa Yanga, Amissi Tambwe aseme kuwa ndiye atakuwa mfungaji bora na rekodi yake ataivunja. Tambwe anashikilia rekodi ya kufunga mabao 21…