Putin Amuondoa Sergei Shoigu kama Waziri wa Ulinzi wa Urusi
Rais wa Urusi Vladimir Putin amemuondoa mshirika wake wa muda mrefu Sergei Shoigu kama waziri wa ulinzi katika mabadiliko aliyoyafanya katika Baraza lake la mawaziri,Kremlin imetangaza.
Shoigu mwenye umri wa miaka 68 amehudumu katika…