The House of Favourite Newspapers

Darasa maalum la Valentine’s Day!

KESHO ndiyo ile Siku ya Valentine. Ni siku maalum ya kuoneshana upendo. Iwe ni mama kwa mtoto, mtoto kwa mama, ndugu jamaa na marafiki. Kuonesha unamjali. Unamthamini. Haimaanishi kwamba siku nyingine huwa hatuoneshani upendo lakini…

Mwijaku: Siiamini Ndoa Ya Diva

MTANGAZAJI wa Clouds FM na mwanamitandao almaarufu DC wa Insta, Mwijaku amedai kuwa ana shaka na uwepo wa ndoa kati ya Mtangazaji wa Wasafi FM, Diva na mpenzi wake, Abdulrazak. Mwijaku anasema kuwa, kukosekana kwa…

Huyu ndiye aliyemuoa Diva

USIKU Waopendanao duniani, Valentine’s Day 2022; muda wa saa mbili usiku, mtangazaji wa Wasafi, Diva Gissele Malinzi au Diva The Bawse alidai kufunga ndoa ya Kiislam na mwanamue aliyefahamika kwa jina la Abdul. Mrembo huyo…

Zuchu Amuonea Aibu Mondi

PAMOJA na kukanusha kwamba wao si wapenzi, lakini ishara nyingi zinaonesha vingine baina ya mastaa wawili wa muziki wanaowika zaidi nchini Tanzania, Nasibu Abdul almaarufu Diamond Platnumz na msanii wake, Zuhura Othman au Zuchu, IJUMAA…

Zari Ashindwa Kumzima Zuchu

BABY mama wa msanii mkubwa nchini Tanzania, Nasibu Abdul au Diamond Platnumz, mwanamama ZarinahHassan ‘Zari The Boss Lady’, anadaiwa kushindwa kuhimili kishindo cha tetesi za jamaa huyo kutoka kimapenzi na msanii wake, Zuhura Othman…