The House of Favourite Newspapers

Gigy: Hawajui Maisha Hao

MWANAMAMA mtata kunako Bongo Flevani, Gift Stanford almaarufu Gigy Money, anasema kuwa, asilimia kubwa ya watu wanaokesha kumsema vibaya mitandaoni kuwa anapenda kujichetua, hawayajui maisha. Akichezesha taya na Gazeti la…

Kumbe Gigy na Kiba Freshi tu

MWANAMAMA wa Bongo Fleva asiyeishiwa tafrani, Gigy Money ameweka wazi kwamba hana tofauti yoyote na King Kiba japo aliwahi kumkana kwa kusema hamjui wakati walikuwa wanafahamiana freshi tu. Hii inakuja baada baada ya Gigy kumsapoti…

Gigy Money Aomba Radhi Tena

Msanii wa Bongo fleva na mfanyabiashara nchini, Gift Stanford, maarufu kama ‘Gigy Money’ ameendelea kuomba msamaha kwa kupunguziwa adhabu ya kifungo chake cha miezi 6 kufanya kazi za Sanaa baada ya kutolewa agizo la kufunguliwa kwa TV…

Nai Awakataa Gigy, Amber Lulu

VIDEO Vixen matata na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nairath Ramadhani ‘Official Nai’ amefunguka kuwa mtu aliyemleta mjini ni msanii mwenzake Sharif Thabeet ‘Darassa’ na si mwingine yeyote. Majibu hayo yamekuja baada ya hivi karibuni…

Gigy Money Afungiwa na BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limemfungia miezi 6, Msanii Gigy Money kujihusisha na sanaa ndani na nje ya Tanzania na kulipa faini ya Tsh milioni 1, mara baada ya kupanda jukwaani mnamo Januari 1, 2021 jijini Dodoma akiwa amevaa…

Gigy: Mondi Siyo Type Yangu

SEXLADY kunako anga la muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka hana mpango wa kuwa na uhusiano na msanii mwezake Nasibu Abdul ‘Diamond’ bali wapo kwa ajili ya kazi. Gigy ameyasema haya baada ya hivi…

Gigy Amvua Nguo Nwana’ke!

Dar: Siku chache baada ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kutengena na aliyekuwa bwana’ke, Hunchy Huncho ambaye ni raia wa nchini Nigeria, mazito yameibuka. Kwa mara nyingine, Gigy amemvua nguo…

Gigy: Nilishatoa la Moyoni

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amesema sasa hana tena kinyongo moyoni mwake na msanii mwenzake Faustina Charles ‘Nandy’ kwa sababu alishatoa ya moyoni. Akipiga stori na AMANI, mrembo huyo mwenye…

Gigy: Zuchu ni Kiboko Yao

Msanii kunako anga la muziki wa Bingo Fleva Gift Stanford wengi wanamjua kwa jina la ’Gigy Money’ amesema kuwa Zuchu ni msanii ambaye amekuja kwa kasi na anajua anachokifanya kwenye muziki. Akizungumza na Gazeti la Risasi…