The House of Favourite Newspapers

Mwana FA Ashinda Ubunge Muheza

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Muheza, amemtangaza Mwana Fa wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 47,578 na kumshinda Yosepher Komba wa CHADEMA aliyepata kura 12,034. Mwana Fa…

Mwana FA Awananga Wenzake

MWANA-HIP Hop asiyechuja Hamisi Mwijuma maarufu kama Mwana FA, amewananga wasanii wenzake akidai kuwa wengi wao wanafahamika kwa kiki zao badala ya muziki wao. Akizungumza na Risasi Vibes, Mwana FA alisema, kwa sasa wasanii wengi…

MWANA FA: SIJAWAHI KUHONGA

RAPA asiyechuja kwenye muziki wa Hip Hop Bongo, Hamis Mwijuma ‘Mwana FA’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa katika maisha yake yote ya ujana, hajawahi kumhonga mwanamke pesa ili apendwe. Akichonga na Risasi Vibes, Mwana FA…

Picha: Mwana FA afunga ndoa

Msanii wa Bongo Fleva, Mwana FA akiwa na mke wake baada ya kufunga ndoa. Ndoa hiyo ya kiislamu imehudhuriwa na ndugu na marafiki zake wa karibu wakiwemo AY, Hermy B, Ommy Dimpoz, Sallam, Dully Sykes, Alberto Msando na wengine.…