COSOTA, RUGE MUTAHABA FOUNDATION KUTOA ELIMU YA HAKIMILIKI KWA VIJANA MILIONI 1
Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imesaini makubaliano ya ushirikiano (MoU) na taasisi ya Ruge Mutahaba Foundation kufanya Kampeni ya kutoa Elimu ya Hakimiliki.
Akizungumza kuhusu Kampeni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa COSOTA Bi.…