×

Global TV Online

Mwanamke Akamatwa kwa Tuhuma za Kumuua Mumewe – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata Jovita Bateguye Budyo, mwenye umri wa miaka 30, kwa tuhuma za kumuua mumewe,...

READ MORE

Video: Kesi ya Lissu Yaahirishwa, Mnyika Kuendelea Kudodoswa Kesho

 Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi kesho Septemba 2, 2026, huku Katibu Mkuu wa chama hicho,...

READ MORE

Aishi na Uvimbe Miaka 20 Aomba Msaada wa Matibabu, Afunguka Mazito -Video

Usemi wa Kiswahili “Kabla hujafa hujaumbika” unaakisi kwa kiasi kikubwa maisha ya Ester Juma, mwenye umri wa miaka 32, mkazi...

READ MORE

Marekani Yashambulia Iran, Drone Yaangushwa Mlango wa Hormuz – Video

WASHINGTON — Marekani imetekeleza mashambulizi dhidi ya Iran baada ya vikosi vyake kushambulia vizindua viwili vya roketi katika Kisiwa cha...

READ MORE

Mawakili wa Mtoto wa Rwakatare Watoa Tahadhari Kuhusu Mali za Mirathi – Video

Mawakili Nicholas Mugarura, Mwesigwa Muhingo na David Saire Manoti, wanaomwakilisha mmoja kati ya watoto wa marehemu Mchungaji Getrude Rwakatare wametoa...

READ MORE

Khamenei Azitaka Nchi Za Kiislamu Kuungana Dhidi Ya Marekani Na Israel – Video

Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, amezitaka nchi za Kiislamu kuungana dhidi ya Marekani na Israel, akizitaja nchi hizo mbili...

READ MORE

Dkt Mwigulu: Serikali Kuendelea Kushirikiana Na Taasisi Za Dini Katika Maendeleo Ya Taifa – Video

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu taasisi za dini likiwemo kanisa Katoliki katika kuimarisha huduma...

READ MORE

Baraza la Wazazi CCM Launga Mkono Nchimbi Kuvuliwa Uanachama – Video

Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Wazazi la CCM Taifa, Ally Salum Hapi, amesoma azimio la Jumuiya hiyo la kuunga...

READ MORE

Ndejembi Azungumza na Wanachamwino, Amshukuru Rais Samia, Aahidi Kufanya Kazi – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumpa dhamana...

READ MORE

Rais Samia Atoa Ujumbe Mzito Kwa Ndejembi, Baada ya Kiapo – (Video +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempa pole Deogratius John Ndejembi baada ya kuapishwa rasmi...

READ MORE

Ndejembi Aapishwa Kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia Ashuhudia (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshuhudia kuapishwa kwa Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu wa...

READ MORE

Exclusive: Saleh Ally Afichua Siri ya Safari Yake Katika Uandishi wa Habari za Michezo – Video

Mwandishi mahiri wa habari za michezo nchini Tanzania, Saleh Ally (@salehjembefacts), amefanya mahojiano maalum (exclusive interview) na Global TV, ambapo...

READ MORE

Video: Wabunge 324 Wamthibitisha Ndejembi kuwa Makamu wa Rais

Wabunge 324 wamepiga kura za “Ndiyo” kumthibitisha Makamu wa Rais Mteule, Deogratius John Ndejembi, kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Msukuma Asimulia Ndejembi Alivyopokea Taarifa za Uteuzi wa Makamu wa Rais – Video

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, amesimulia namna Deogratius Ndejembi alivyopokea taarifa za kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa...

READ MORE

Hatua ya Mwisho kwa Ndejembi Bungeni, Waziri Ammwagia Sifa (Picha +Video)

Makamu wa Rais Mteule na Waziri wa Nishati, Deogratius John Ndejembi, leo Agosti 28, 2026, amehudhuria Kikao cha Tatu cha...

READ MORE

Bunge la Tanzania leo: Deogratius Ndejembi Kuthibitishwa Kuwa Makamu wa Rais – Video

 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, Ijumaa, Agosti 28, 2026, linatarajiwa kupokea na kuthibitisha uteuzi wa Deogratius...

READ MORE

Inashangaza! Simba Yashinda, Lakini Mashabiki Watoa Lawama Kwa Doumbia – Video

Baadhi ya mashabiki wa Simba wameonekana kutoridhishwa na kiwango cha mshambuliaji wa klabu hiyo, Ibrahim Doumbia, licha ya timu hiyo...

READ MORE

Maganya: Jumuiya ya Wazazi Yaunga Mkono Nchimbi Kuvuliwa Uanachama – Video

Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Maganya, amesema jumuiya hiyo inaunga mkono uamuzi...

READ MORE

Watu Wawili Wafariki Baada ya Kujinyonga Dagailoi, Babati – Video

Watu wawili, wakazi wa Kijiji cha Dagailoi, Kata ya Sigino, Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wamefariki dunia katika matukio mawili...

READ MORE

Mambo 12 Usiyoyajua Kuhusu Ndejembi Hadi Kuteuliwa Kugombea Umakamu wa Rais – Video

Deogratius John Ndejembi ni mwanasiasa wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye kwa sasa anahudumu kama Waziri wa Nishati....

READ MORE

Mavunde Ampongeza Ndejembi “Ni Kiongozi Kijana, Mwadilifu na Mzalendo” – Video

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amempongeza Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, kufuatia kuteuliwa kwake kushika nafasi ya Makamu wa Rais...

READ MORE

Shigongo Ahoji Serikali Kuhusu Barabara za Mitaa Nyehunge – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amehoji Bungeni jijini Dodoma kuhusu hatua za Serikali katika kuboresha barabara za mitaa katika eneo...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Ampongeza Ndejembi, Aeleza Mikakati ya Serikali Kuhusu Mawasiliano na Usafiri – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amempongeza Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa...

READ MORE

Video: CCM Yamvua Uanachama Nchimbi Siku Moja Baada ya Kujiuzulu

CCM Yamvua Uanachama Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kumvua uanachama Makamu wa Rais...

READ MORE

Video: Simanzi Kihesa, Mrembo wa Miaka 23 Afariki Ndani ya Chumba Chake

Mkazi wa Mtaa wa Kihesa, Halmashauri ya Mji wa Njombe, Edina Chaula, mwenye umri wa miaka 23, amefariki dunia baada...

READ MORE

Mbunge Shigongo Aipongeza Kanisa Katoliki Kwa Kuhubiri Amani – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amelipongeza Kanisa Katoliki kwa mchango wake katika kuhubiri amani na utulivu nchini Tanzania. Shigongo ametoa...

READ MORE

Utata Wa Neema Na Mwajiri Wake Wafikia Mwisho, Zali Mapito Afika Oman Kufuatilia – Video

Mtangazaji wa Global TV Online na 255 Global Radio, Zali Mapito, yupo nchini Oman kufuatilia hali ya binti mdogo wa...

READ MORE

Tume ya Jaji Lila Yaanza Kazi, Wahusika wa Ghasia za Uchaguzi Kuchunguzwa

Dar es Salaam, Agosti 24, 2026 — Tume ya Kuchunguza Wahusika, Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria Wakati na Baada ya...

READ MORE

Mfanyabiashara Afichua Siri ya Mafanikio ya Wakinga na Safari Yake ya Utajiri – Video

Mfanyabiashara maarufu nchini, Hosiana Sanga, amefichua baadhi ya misingi anayoiamini kuwa imechangia mafanikio ya Wakinga katika biashara, huku akisimulia safari...

READ MORE

Rais Samia Azindua Bwawa la Julius Nyerere, Atoa Tahadhari ya El Niño (Picha +Video)

PWANI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kukamilika kwa Mradi wa Kufua Umeme wa...

READ MORE

Video: Linah Aahidi Burudani ya Kipekee Kwenye Miaka 30 ya Bongo Fleva

DODOMA: Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Linah Sanga, amefunguka kuhusu maandalizi yake kuelekea shoo ya kusherehekea Miaka 30 ya...

READ MORE

Dogo Janja Afunguka Kuhusu Ndoa yake na Irene Uwoya – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende maarufu Dogo Janja, amefunguka kuhusu historia ya uhusiano wake na staa wa...

READ MORE

Video: Ray Kigosi Atoa Siri ya Familia, Chuchu Hansy Atarajia Mtoto wa Pili

Mwigizaji mkongwe wa filamu Bongo, Vincent Kigosi, maarufu kama Ray, amefichua kuwa mzazi mwenzake, Chuchu Hansy, anatarajia kupata mtoto wao...

READ MORE

Serikali Yamjibu Lissu: Sheria Haipo kwa Ajili ya Kumfurahisha Mtu

Dar es Salaam — Mvutano wa hoja umeendelea katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, huku upande wa mashtaka...

READ MORE

Siri Nzito! Ndege Ya Malaysia Iliyopotea Angani, Haijulikani Ilipoelekea-Video

Tarehe 8 Machi 2014, ndege ya Malaysia Airlines aina ya Boeing 777 iliondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

Mahakama Yasema Tundu Lissu Ana Kesi ya Kujibu – Video

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Agosti 21, 2026 imemkuta na kesi ya kujibu Mwenyekiti...

READ MORE

Siku ya Uamuzi wa Tundu Lissu: Mahakama Kusema ana Kesi ya Kujibu au Hana Leo -Video

 Dar es Salaam — Jopo la majaji watatu, likiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, linatarajiwa kutoa uamuzi leo, Ijumaa Agosti...

READ MORE

Trump Aanzisha “D-Day ya Kiuchumi” Dhidi ya Iran, Vita vyaanza Upya – Video

WASHINGTON — Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza hatua mpya na kali zaidi za kiuchumi dhidi ya Iran, akisema Washington...

READ MORE

Video: Mbunge Shigongo Apongeza Serikali kwa Kuboresha Shule ya Kasaji

BUCHOSA: Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameipongeza Serikali kwa hatua ya ujenzi wa miundombinu katika Shule ya Msingi Kasaji, iliyopo...

READ MORE

Baraza la Michezo Laibua Jingine Simba! “Serikali Imekamilisha Wajibu Wake” – Video

Dar es Salaam: Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa Katiba ya Klabu ya Simba iliyofanyiwa...

READ MORE