The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

chelsea

Chelsea Yaitungua Watford

Chelsea wameendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa EPL baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya Watford katika muendelezo wa ligi kuu soka nchini England. Mabao ya Mason Mount na kiungo Hakim Ziyech yalitosha…