The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

wolper

Wolper: Mume Wangu Sio Chawa

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper anasema kuwa, kitendo cha yeye na mumewe, Rich Mitindo kusapoti biashara za watu wengine siyo kwamba wao ni chawa. Anasema kuwa, umekuwa ni utamaduni wake hata kama mtu amemkosea, basi…

Walezi wa Wana Wajengewe Sanamu

MUZIKI wa Bongo Fleva unatajwa kuongoza kwa kuwa na mashabiki wengi kwa sasa nchini. Kupitia fani hii, vijana wengi wamejiajiri na kuendesha maisha yao. Ukiachana na watoto wa kiume ambao wengi wao wanaonekana kuukubali muziki huo,…

Aunt, Wolper Wamaliza Bifu

LILE bifu lililokuwa bab’kubwa kati ya waigizaji Aunt Ezekiel na Jacqueline Wolper, limezikwa rasmi na sasa wawili hao wanaishi vizuri. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, wawili hao walipatanishwa kwenye hafla ya Komunio ya mtoto…

Mtoto Kumpa Mamilioni Wolper

BAADA ya kupigiwa vigelegele vya uzazi, sasa mtoto kumpa msanii Jacqueline Wolper mamilioni. Wolper mwenyewe anacheeeka alipoulizwa kuhusu kuwepo kwa makampuni mawili makubwa ambayo yanataka kumpa mwanaye aitwaye P mkataba wa ubalozi…

Harmo Kumburuza Wolper Kortini

TUSI la kishari la msanii Jacqueline Wolper Massawe alilomvurumisha mpenzi wake wa zamani Rajabu Abdul Kahali ‘Harmo’ huwenda likamtia matatani, Risasi limedokezwa. Wolper kupitia ukurasa wake wa Instagram hivi karibuni aliandika…

Wolper Kasahau Kuumizwa Penzini

Staa wa filamu ambaye sasa hivi amegeukia kwenye upande wa kudizaini na kushona nguo mbalimbali, Jacqueline Wolper amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa amesehau habari za kuumizwa kimapenzi. Akizungumza na amani, Wolper…

Wolper Atulizwa Tuliii!

Pisi kali inayowakilisha tasnia ya Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe, amekiri kutulizwa tuliii na mpenzi wake mpya aitwaye Rich Mitindo. Wolper ameliambia Gazeti la IJUMAA WIKIENDA kuwa, kwa jinsi anavyowajua…