The House of Favourite Newspapers

Kweli Duniani Wawili Wawili!

Ni jambo la kawaida kuambiwa umefanana na mtu fulani, kwa sababu duniani wawili wawili kuna ambao hukutana na mikasa mbalimbali ikiwemo hata kupakaziwa kesi ambazo hawazijui labda kafanya mtu mwingine, lakini kwa kuwa kafanana…

Ben Pol Amfungulia Dunia Darasa

DAR: Mkali wa Hip Hop Bongo, Shariff Thabeet ’Darasa’, amefunguka kuwa hadi hapo alipofikia, siyo yeye, bali ni sapoti ya msanii mwenzake, Bernard Paulo ‘Ben Pol’. Akizungumza na Gazeti la IJUMAA, Darasa ambaye amekuwa…

OFM YAMNASA DARASA

Shariff Thabeet ‘DarassaDAR ES SALAAM: Baada ya Kikosi Fichua Maovu (OFM) kutumia muda mrefu kumsaka, hatimaye msanii wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na Wimbo wa Muziki, Shariff Thabeet ‘Darassa’ amenaswa mjengoni kwake jijini Dar.…

Wakali Hawa ‘Wamebuma’ 2017

MWAKA unazidi kuyoyoma, kwenye upande wa burudani hasa Tasnia ya Muziki, mbali na wanamuziki wenyewe kutathimini nini wamefanya kwa mwaka huu, wadau wa tasnia hiyo hatuwezi kuonekana tumetenda kosa la jinai kupitia nini ambacho…

DARASA SNURA LEO NDANI YA CHATO

IMEFIKA! Baada ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi, hatimaye wakali wawili wasioshikika kunako gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ na Sharif Thabeet ‘Darassa’ leo Jumamosi wanatarajiwa kuweka historia mpya…

Hamorapa, Ney Wamitego lao Moja

Hamorapa na mpenzi wake. Stori: Na Andrew Carlos | IJUMAA | SHOWBIZ KIZUNGUMZIA ishu ‘inayo-trend’ kwa sasa kwenye burudani hususan katika Muziki wa Bongo Fleva bila kupapasa utataja ishu ya msanii chipukizi aliyejizolea umaarufu wa…

Sangoma Abambwa Akimroga Darassa

Na Waandishi Wetu | Gazeti la Aman, Toleo la Desemba 22, 2016   DAR ES SALAAM: Kufuatia uwepo wa madai kwamba wapo waganga wanaotumika kuwaroga wasanii, hususan wale ambao nyota zao zipo juu, Kitengo Maalum cha Oparesheni Fichua Maovu…

Ma Modo 10 Waliosumbua 2016

Hamisa Mobeto Na Mwandishi Wetu|Gazeti la Ijumaa Kwenye ulimwengu wa burudani, wapo wadada wanaofahamika kwa jina la Video Queen. Kwa hapa Bongo wapo kibao lakini katika kufunga mwaka IJUMAA linakuletea mamodo 10 waliokuwa gumzo kwa…