The House of Favourite Newspapers

Wanahabari Global Wapigwa Msasa

WAHARIRI na waandishi waandamizi kutoka Kampuni ya Global Publishers wamepewa semina ya kuboresha ufanisi wa kazi zao, somo lililotolewa leo na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini, Dk. Dalius Mkiza ndani ya ofisi za kampuni…

A-Z Shoo ya Jide Mlimani City

Malkia wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee na bendi yake wakikamua katika shoo yake ya Naamka Tena Concert iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar usiku wa kuamkia leo. Jide akizidi kukamua Burudani mwanzo mwishoWema Sepetu na mashabiki…