The House of Favourite Newspapers

Nai Awakataa Gigy, Amber Lulu

VIDEO Vixen matata na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nairath Ramadhani ‘Official Nai’ amefunguka kuwa mtu aliyemleta mjini ni msanii mwenzake Sharif Thabeet ‘Darassa’ na si mwingine yeyote. Majibu hayo yamekuja baada ya hivi karibuni…

Gigy: Mondi Siyo Type Yangu

SEXLADY kunako anga la muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka hana mpango wa kuwa na uhusiano na msanii mwezake Nasibu Abdul ‘Diamond’ bali wapo kwa ajili ya kazi. Gigy ameyasema haya baada ya hivi…

Gigy Amvua Nguo Nwana’ke!

Dar: Siku chache baada ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kutengena na aliyekuwa bwana’ke, Hunchy Huncho ambaye ni raia wa nchini Nigeria, mazito yameibuka. Kwa mara nyingine, Gigy amemvua nguo…

Gigy: Nilishatoa la Moyoni

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amesema sasa hana tena kinyongo moyoni mwake na msanii mwenzake Faustina Charles ‘Nandy’ kwa sababu alishatoa ya moyoni. Akipiga stori na AMANI, mrembo huyo mwenye…

Gigy Awachefua Mashabiki

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ mapema wiki hii amewakera mashabiki zake mtandaoni baada ya kuposti video akiwa anaswaki na kutema mate hovyo, jambo lililofanya kila mmoja kuongea lake. Mwanamama huyo…

Gigy Money Kurudi Shule

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amesema kwamba, ameamua kurudi shule ili atimize malengo yake ambayo hakuweza kuyatimiza nyuma. Akipiga stori mbili tatu na Risasi Vibes, mrembo huyo mwenye mvuto wa aina…

Gigy Money Alaaniwa na Mama’ke

MAMA wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’, Fatuma Katunda ‘Kissa’ amemlaani mwanaye huyo na kufikia hatua ya kusema asimzike kutokana na alichomfanyia. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko kwa…

Diva Kumburuza Gigy Kortini

MTANGAZAJI wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ amefunguka kuwa, atamburuza kortini msanii Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kutokana na maneno anayomtukana mitandaoni. Kwa takriban wiki mbili sasa, Diva na Gigy wamekuwa…

Gigy Jiwe Lililokataliwa!

MSANII machachari kwenye Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amesema wakati anatoka kimuziki, watu wengi walimdharau na kumuona hafai, lakini ukweli ni kwamba, jiwe walilolikataa waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la pembeni. Gigy…

GIGY AWAKA KISA MPENZI WAKE

MSANII wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amewaka vibaya kwamba watu waache kufuatilia maisha yake na badala yake wafanye mambo yatakayowaingizia faida na siyo kumfuatilia yeye kila siku. Gigy ametoa kauli hiyo baada ya kuulizwa…

Mo J atangaza ndoa na Gigy Money

LICHA ya penzi lao kuwa na migogoro kila wakati, mtangazaji wa Choice FM, Mourad Alpha ‘Mo J’ ameibuka na kutangaza kumuoa mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye ni mzazi mwenzake, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ili kutimiza ahadi waliyowekeana.…

JIDE YAMKUTA YA GIGY MONEY

DAR ES SALAAM: BAADA ya kutupia picha zake tata mtandaoni, mkongwe wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Jide’ yamemkuta majanga yaliyowahi kumkuta msanii Gift Stanford ‘Gigy Money’ ya kuchongewa kwa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata). Jide…