The House of Favourite Newspapers

Tuzo za Grammy Zarejea Tena

HATIMAYE zile Tuzo kubvwa duniani za Grammy 2022 zimerejea tena baada ya kusitishwa kwa muda kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kuepuka kuenea kwa Covid-19. CBS na Recording Academy wametangaza kuwa tukio la utolewaji wa tuzo hizo…

Drake Ajitoa Kwenye Tuzo Za Grammy

Staa mkubwa wa Rap nchini Marekani anayekimbiza na albamu yake ya Certified Lover Boy, Drake ametangaza kujitoa katika kinyang’anyiro cha Tuzo za Grammy zinazotarajiwa kutolewa Januari 31, 2022 katika Ukumbi wa Staples Centre, Los…

Jay Z Aweka Historia Yakutisha Tuzo Za Grammy

Nyota wa muziki wa Hip Hop Duniani, Shawn Corey Carter ,maarufu kama Jay Z,  ameweka historia  baada ya kutajwa kuwania mara nyingi zaidi katika tuzo za Grammy amabazo zitafanyika mwakani,  hadi sasa ametajwa mara 83 akimuacha…

Tuzo za Grammy Zaahirishwa

TUZO za Grammy za mwaka 2021 hazitafanyika tena mwezi huu huko Los Angeles, California, na badala yake zitatangazwa mwezi Machi kwa sababu ya kuongezeka kwa visa vya virusi vya corona na vifo. Waandaji wa tuzo hizo walisema…

Mondi Atoswa Tuzo za Grammy

HATIMAYE vipengele vya tuzo za Grammy 2021 vimetajwa rasmi usiku huu, ambapo Burna Boy wa Nigeria ameendelea kudhihirisha kuwa ndiye mfalme wa Afrika huku staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, akikosekana katika tuzo hizo. …

Rotimi Atua Tuzo za Grammy

MWANAMUZIKI na mwigizaji staa wa Marekani ambaye pia ni mpenzi wa Vanessa Mdee, Olurotimi Akinosho a.k.a Rotimi, ametajwa kwenye orodha ya wasanii wanaofikiriwa kuingizwa kwenye vipengele vya tuzo kubwa duniani, Grammy 2021. …

RAMMY AYAPA KISOGO YALIYOMUUMIZA

MUIGIZAJI wa filamu Bongo, Rammy Galis amefunguka kuwa kwa sasa ameamua kuyapa kisogo mambo yote yaliyowahi kumuumiza kwenye maisha yake kwani hayana nafasi kwake kwa sababu hataki kurudi kwenye ukurasa wa maumivu ambao alishausoma.…

POSHY RAMMY MSHIKAJI TU

SIKU chache baada ya kuonekana wakiongozana kama mtu na mpenzi wake katika futari maalum iliyoandaliwa na msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, mrembo Jacqueline Obed ‘Poshy  Queen’ amesema kuwa yeye na msanii wa Bongo Muvi, Rammy Gallis…

Washindi Tuzo za Grammy 2019

USIKU wa kuamkia Februari 11, mwaka huu umekuwa wa bashasha kubwa kwa wasaniii wa Marekani ambapo zimetolewa tuzo za 61 za Grammy ambazo Drake na Kendrick Lamar wameongoza kutajwa katika vipengele vingi zaidi. …

MIMI MARS AMFUNGUKIA RAMMY

BAADA ya mkali wa filamu Bongo, Rammy Gallis kuibuka na kusema kuwa anatamani kuonana naye ikiwezekana kuanzisha naye uhusiano, msanii wa Bongo Fleva, Mimi Mars amefungukia msanii huyo kuwa hamjui vizuri na aliwahi kumuona mara moja tu…