The House of Favourite Newspapers

Harmonize Amponza Jane Misso

MWANAMAMA anayeimba Nyimbo za Injili, Jane Misso amekiri kuponzwa na wimbo alioimba na staa wa Bongo Fleva, Harmonize. Jane Misso ambaye ni Mkristo anasema kuwa, baada ya kutoa Wimbo wa Omoyo Remix akishirikiana na Harmonize ambaye…

Mukoko: Nitamiss Ugali na Samaki

Baada ya kuthibitishwa ameondoka Young Africans na kusajiliwa TP Mazembe ya nchini kwao DR Congo, Kiungo Mkabaji Mukoko Tomombe ametoa ya moyoni. Mukoko ameondoka Young Africans akisisitiza kuipenda klabu hiyo iliyomsajili mwanzoni…

Fahyma: Rayvvany I Miss You

FAHYMA ni mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, ni modo, fashenista, mjasiriamali, balozi wa brandi mbalimbali, sosholaiti, mwigizaji, dansa, video-vixen, mtangazaji na baby mama wa msanii Rayvanny ambaye amejaaliwa naye mtoto mmoja wa…

We Miss Them!

WE miss them so much (tumewamisi mno)! Ndivyo wasemavyo Watanzania walio wengi wakati huu zikiwa zimesalia takriban siku 20 kumalizika kwa mwaka 2021; mwaka unaoelezwa kutawaliwa na machozi kila kona kutokana na vifo vingi vya viongozi,…