The House of Favourite Newspapers

Prisons: Yanga Hatoki Ng’o

Kocha msaidizi wa Tanzania Prisons, Shabani Kazumba amesema wataifunga Yanga na kwenda kuchukua ubingwa wa kombe la shirikisho 'ASFC' ili wawakilishe nchi kimataifa. Kazumba maarufu kwa jina la 'Mourinho' amesema,'' Azma…