The House of Favourite Newspapers

Sakata Ngorongoro Lawagawa Wabunge

MVUTANO mkali umetokea kati ya pande mbili za wabunge wanaounga mkono hatua ya kupunguza watu ndani ya Mamlaka ya Hifadhi Eneo la Ngorongoro (NCAA) na wanaopinga uamuzi huo. Aidha, wamemshauri Spika, Dk. Tulia Ackson, kuunda kamati…

Kajala Arejesha Mali Za Harmo

UKIMZINGUA anakuzingua kwelikweli! Huyo ndiye Kajala Masanja, staa wa Bongo Muvi ambaye anadaiwa kumrudishia vitu vyote staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ ambavyo alimpa wakati wakiwa kwenye uhusiano wa kimapenzi, RISASI…

NYUMBA YA URITHI YAZUA BALAA

MSONDO Ngoma Music Band waliona mbali walipotoa wimbo wa Kilio cha Mtu Mzima, ambapo mashairi yake yanasema hivi:  “Tunatoana roho Yarabiii, kwa mali alizoacha baaba…” Na kweli nyumba ya urithi imezua balaa jijini Dar es Salaam ambapo…

Wema Ahofia Usalama Wake

Katika uchunguzi huo, ilibainika kuwa muigizaji huyo haonekani kwenye matukio kama kumbukumbu ya kuzaliwa, send off na hata kwenye kumbi za starehe kama ilivyokuwa, huku baadhi ya watu wake wa karibu wakisema hata simu yake, haipatikani…