Kizimbani kwa Tuhuma za Kusafirisha Madawa
				KESI inayowakabili vijana wawili wakazi wa Jijini Dar es Salaam, Said Shewali na Salum Athumani ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine, imeahirishwa hadi Desemba 29, 2021.
 
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa katika…			
				 
			