The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Makala Afya

Ufuta Unavyotibu Kisukari, Saratani!

UFUTA au kitaalamu Sesamum indicum, hustawi na hulimwa zaidi mikoa ya Kusini mwa Tanzania ya Lindi, Mtwara na sehemu ya mkoa wa Ruvuma, Tunduru.  Hata hivyo, tafiti mbalimbali za ndani na nje ya nchi, zinaonesha kuwa ulaji wake ni…

Ifahamu figo yako inavyoweza kuharibika

 LEO tutakuelimisha kuhusu chanzo cha maradhi ya figo na tutakueleza dalili zake ili ufahamu jinsi ya kujikinga.  Figo ni sehemu ya kiungo cha mwilini (ogani) inayoshirikiana na moyo, kuathirika kwake kuna athari kubwa kwa mfumo wa damu na…

Jinsi ya Kuepuka maumivu ya mgongo

KWA miaka ya hivi karibuni maumivu ya mgongo yamekuwa moja kati ya matatizo makubwa yanayotesa wengi.  Tafiti mbalimbali zimethibitisha kuwa, maumivu ya mgongo hujitokeza zaidi kwa watu wenye umri wa kuanzia miaka 25 hadi 40 na…

Maumivu ya mgongo kwa mjamzito

WAJA-WAZITO wengi huumwa mgongo bila kujua sababu, leo nitaeleza kwa kina nini husababisha tatizo hilo kwa mjamzito.  Uongezekaji wa uzito wa mtoto tumboni, uongezekaji wa maziwa na uzito sehemu mbalimbali za mwili wa mjamzito,…

Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi

TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwapata wanawake wengi walio kwenye umri wa kuzaa na wale waliomaliza majukumu yao ya uzazi.  Tatizo linapojitokeza huleta athari nyingi kwa mwanamke kwa kumfanya ashindwe kupangilia mipango…

Fahamu Madhara Sita ya Kutoa Mimba

KUTOKANA na kuongezeka kwa idadi ya mahusiano duniani na kutotumia njia za uzazi wa mpango kwa watu wengi walioko kwenye mahusiano, wasichana wengi kwa sasa wanatoa mimba.  Zaidi ya asilimia tisini ya wasichana wanaokuwa kwenye…

Zijue sababu za mimba kuharibika

MIMBA yenye wiki 28 au chini ya hapo uharibika au kutoka, hali hii kitaalamu inajulikana kama ‘miscarriage’ na kwa kawaida mtoto aliye tumboni katika umri huu, hataweza kuishi nje ya tumbo la mama.  Zaidi ya asilimia 80 ya mimba…

Ugonjwa wa UTI kwa wajawazito -2!

MAAMBUKIZI ya njia ya mkojo (UTI) husababishwa na vimelea ambavyo kitaalamu hujulikana kama E. Coli. Vimelea hawa huishi kwenye mfumo wa chakula bila kuleta madhara yoyote wawapo humo, ila wakiingia kwenye njia ya mkojo huleta…

Athari za vidonge vya uzazi wa mpango

VIDONGE vya uzazi wa mpango, ni moja ya njia inayopendekezwa na wataalamu wa mpango wa uzazi katika kuzuia mimba.  Hadi sasa kuna aina kuu mbili tu za vidonge vya uzazi vinavyotumiwa na wanawake katika mpango huo, ingawa aina zote hizo…