P Funk: Wasanii wa Bongo Fleva Wanapenda Kulalamika, Hawataki Kuhudhuria Mikutano
PRODYUZA mkongwe wa muziki Bongo, P Funk Majani amesema wasanii wengi wa muziki wa Bongo Fleva wanapenda kulalamika kuhusu haki zao lakini wakipewa fursa ya kutoa maoni yao ili sheria ama kanuni zitungwe kuboresha wanakwepa.
…