The House of Favourite Newspapers

Nandy: Mapenzi Yanatuumiza

NANDY The African Princess; ni msanii bora wa muziki Afrika Mashariki ambaye ameamua kuwaweka sawa wale wote wanaodhani yeye anafanya kiki au labda kweli uhusiano wake na Billnass au Nenga umevunjika. Hii ni baada ya siku za hivi…

Nandy Mjamzito?

MALKIA wa muziki wa Bongo Fleva Afrika Mashariki, Nandy The African Princess ameendelea kutrendi na tetesi za kuwa mjamzito kwa wiki kadhaa sasa. Inasemekana kuwa, Nandy au Nandera alionekana tofauti alipokuwa akizindua lipstick zake…

Nandy Afunga Mwaka Kibabe

MALKIA wa Bongo Fleva Afrika Mashariki na Kati, Faustina Charles almaarufu Nandy amefunga mwaka 2021 kibabe kwa mafanikio makubwa. Hii ni baada ya kufanikiwa kufikisha jumla ya streams (wasikilizaji) milioni 30 kwenye mtandao mmoja…

A-z Nandy Kudaiwa Mil. 260

MWANAMUZIKI Bora wa Kike wa Tanzania, Faustina Charles Mfinanga au Nandy, ameingia matatani baada ya kufunguliwa kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwa madai ya kuingilia hakimiliki ya mwanamuziki Desire Manirapta…