The House of Favourite Newspapers

Jide: Zuchu Atafika Mbali!

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ amesema kuwa msanii na memba mpya wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Zuhura Othman ‘Zuchu’, atafika mbali kutokana na juhudi zake. …

Mbosso: Sioi Leo Wala Kesho!

KWENYE playlist yako ya wakali wa Bongo Fleva, huwezi kuacha jina la dogo anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) iliyo chini ya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Mondi’. Huyu ni Mbwana Yusuph Kilungi ‘Mbosso’ ambaye mbali…

Leila: Kitawaka Dar Live

NA MWANDISHI WETU| GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA | OVER THE WEEKEND MALKIA wa Bendi ya Jahazi Modern Taarab, Leila Rashid amefunguka kuwa tofauti na mara zote ambazo bendi yake imekuwa ikifanya maonyesho huko nyuma, katika onyesho…

21 Savage Kuachia Albamu Mpya

RAPA maarufu duniani, 21 Savage ametangaza ujio wa album mpya ikiwa ni mwaka mmoja na nusu tangu atoe albam yake. Kupitia akaunti yake ya Twitter yake, 21 Savage ameandika “No album in a year and a half tho…it’s time,”. …

Mwasiti Amvulia Kofia Nandy

MSANII mkongwe kunako anga la muziki mtamu wa Bongo Fleva, Mwasiti Almasi ‘Kipepeo Mweusi’ amemvulia kofia msanii mwenzake, Faustina Charles ‘Nandy’ akisema ni mpambanaji kwelikweli. Akipiga stori na OVER ZE WEEKEND,Mwasiti…

Mwasiti Afunguka Kuacha Muziki

MWANAMUZIKIaliyekula chumvi nyingi kunako Bongo Flevani, Mwasiti Almasi ‘Mwasiti’, naye amefunguka juu ya wimbi la wasanii kuacha muziki akisema kwa upande wake bado hajawaza wala kufikiria kuachana na masuala ya muziki. …

Aslay Ataja Sababu za Kuwa Singo

MWANAMUZIKI Bongo Fleva, Aslay Isihaka ameeleza sababu ya kukaa bila mpenzi (kuwa singo), Aslay anasema kuwa, kwa sasa ameamua kuwa bize na mambo yake kwa sababu haoni faida ya kuwa na mwanamke maishani mwake. Akistorisha na OVER ZE…

Sonia ni Staa Tangu Azaliwe!

MWIGIZAJI mkongwe wa Bongo Movies, Yvonne Cherry ‘Monalisa’, amefunguka kuwa, mwanaye Sonia alikuwa staa tangu anazaliwa. Akipiga stori na OVER ZE WEEKEND, Monalisa au Mona amesema umaarufu wa Sonia unaweza ukawa hujaanza…