The House of Favourite Newspapers

Koffi Olomide Ahukumiwa Kwenda Jela

MAKAHAMA ya rufaa ya Versailles nchini Ufaransa imemfutia shitaka la unyanayasaji wa kingono na kumtia hatiani kwa makosa ya kuwashikilia wanawake bila riddhaa yao mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi, Koffi Olomidé kutokea nchini…

Koffi Olomide Kuisimamisha Dar Leo

MAESTRO wa muziki wa Rhumba barani Afrika, Koffi Olomide au Mopao anatarajia kulisimamisha Jiji la Dar kwa shoo ya kibabe katika Tamasha la Kilele cha Wiki ya Mwananchi. Koffi aliwasili jana, Jumamosi na kufanya jiji…

Koffi Apigwa Stop Rwanda

Wanaharakati wa haki za wanawake nchini Rwanda wamelipiga ‘stop’ tamasha la mwamba wa Rhumba wa Congo, Koffi Olomide kwa tuhuma za ubakaji na unyanyasaji wa kingono anazokabiliwa nazo katika Mahakama za Ufaransa. Mwezi…

Papii Kocha Amshangaa Koffi!

MWANAMUZIKI wa dansi nchini, Johnson Nguza maarufu Papii Kocha amesema amemshangaa mkongwe wa dansi kutoka Congo DR, Koffie Olomide katika wimbo wa Waah alioshirikiana na msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platniumz’ kwa…

Koffi Amvulia Kofia Mondi

MWANAMUZIKI mkongwe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Antoine Christophe Agbepa Mumba almaarufu Koffi Olomide au Mopao Mokozi, amemnyooshea mikono na kumvulia kofia staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kisha…