The House of Favourite Newspapers

Lulu: Sijawahi Kupanda Bodaboda

ELIZABETH Michael au Lulu ni mwigizaji ambaye ni nembo ya Bongo Movies kwani alianza kuigiza akiwa na umri wa miaka mitano pekee! Lulu amejikuta kwenye mabishano makali na baadhi ya wafuasi wake kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudai…

Lulu: Wala Hata Siwacheki

ELIZABETH Michael almaarufu Lulu ametoka mbali mno na tasnia ya Bongo Movies tangu akiwa na umri wa miaka mitano hadi sasa ni mke na mama wa mtoto mmoja ambaye anasema kuwa, hawezi kuwacheka mastaa ambao wanakwenda kufanya sajari…

Lulu Atema Nyongo kwa Wema

Kimeumana ile mbaya! Kwa mara ya kwanza, baada ya kusambaa kwa ubuyu kwamba ana ugomvi na staa mwenzake wa Bongo Movies, Wema Sepetu, Elizabeth Michael au Lulu amevunja ukimya. Kabla ya Lulu kufunguka kilichomkwaza kwa Wema,…

Lulu Ni Mwanamke Wa Pekee

CEO wa Efm na TvE Bwana Francis Ciza maarufu kama"Majizo" amemwagia sifa kibao mama wa mtoto wake ambaye ni Elizabeth Michael maarufu kama "lulu" kuwa ndiye mwanamke sahihi kwenye maisha yake na alikua na ndoto yakuwa na mwanamke kama…

Lulu Adaiwa Kuwa Kuwa Mjamzito

JE, ni mwendelezo wa “kufyatua’ watoto kimyakimya kwa mastaa wa kike Bongo kama alivyoanzisha ‘shoo’ hiyo Jackline Wolper?Inawezekana! Maana baada ya Wolper kujifungua mtoto hivi karibuni kwa kuwaspraiz watu, gumzo limehamia…

Lulu Amvaa Shabiki Mtandaoni

WAKATI watu wakiwa bize na habari ya P Funk na binti yake Paula, mara paap staa wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ naye akakiamsha baada yamkujibu kejeli shabiki yake mtandaoni ambaye alikuwa anajaribu kumpa ushauri juu ya uchumba…

Lulu Ajivunia Kulea

STAA wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amesema anamshukuru Mungu kwa kumsaidia kumlea vizuri mdogo wake Erick mpaka sasa amefanikiwa kuhitimu elimu yake ya msingi Shule ya Feza Boys. Akizungumza na Mikito…

Uchumba wa Lulu Waweka Rekodi

STORI: IMELDA MTEMA, DAR UCHUMBA wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Mkurugenzi wa EFM na TVE, Francis Siza ‘Majizo’, umeweka rekodi ya aina yake kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo. Lulu amesema hadi…

Lulu Afungukia Siku Ya Ndoa Yake

WAKATI akiwa anasherehekea kutimiza miaka 25 toka kuzaliwa kwake, juzi Alhamisi Muigizaji wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amefunguka kuwa suala la ndoa yake na mchumba wake, Majizo lipo palepale, kinachosubiriwa ni Mungu…

Lulu Atoa Kali Ya Mobeto

Staa machachari wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa kali kuwa, kama ni kweli watoto wa mwanamitindo na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto wanafafana naye, basi mimba za mwanamama huyo huwa zinampenda. Lulu amesema…

Lulu Atoa Povu la Mimba!

MUIGIZAJI mwenye vituko lukuki Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kwa kuwa watu wengi wamekuwa wakimuuliza kuhusiana na mimba yake basi akiibuka tena atakuwa amebeba kichanga ili kuwaziba midomo wananzengo. Akizungumza na Za…