×


FacebookIshu siyo ndoa, unaoa au kuolewa na nani?

…salamu na stori mbili-tatu utamsikia akichomekea hilo suala. Tena wengine wanakwenda mbali zaidi kwa zile kauli za ‘umri unaenda, maisha mafupi haya’. Ndugu zangu, nimeandika makala haya si kwamba sikubaliani…

SOMA ZAIDI


Hawa Afichua Siri Kujichora Tattoo Ya Diamond

…huyo ndiye aliyemtoa kwenye gemu na alipopotea ndiye aliyemrudisha na kumuweka sawa! Mikito Nusunusu limebambana na Hawa ambapo amefunguka mengi na katika makala haya anaanika zaidi;   Mikito: Hongera bwana,…

SOMA ZAIDI


Wasomaji: Betika linatusaidia sana

…hutolewa bure kwa wenye umri kuanzia miaka 18. Betika ambalo lina kurasa 20 ambazo zote ni za rangi, lina makala na odds za kampuni mbalimbali za kubeti.     Leo…

SOMA ZAIDI

VITA YA PENZI HAIJAWAACHA SALAMA

…huwa yanatokea mambo mengi vivyo hivyo kwa mastaa pia ila wanaonekana zaidi kwa kuwa wao ni kioo cha jamii na watu wengi wanawafuatilia maisha yao.   Katika makala haya leo…

SOMA ZAIDI

JINASUE HIVI NA MATAPELI WA MAPENZI

…Mungu kumtambua mtu ambaye upo naye kwenye uhusiano ni sahihi. Suala hili wanawake wengi wanaweza kulitolea ushuhuda. Ninavyoandika makala haya, najua wengi sana wameshazalishwa na kutelekezwa. Waliwapa wanaume mioyo yao…

SOMA ZAIDI
Tambwe: Mtoto Wangu Hawezi Kucheza Simba

…Yanga. Hiyo ilikuwa ni katika usajili wa dirisha dogo msimu wa 2014/15. Amissi Tambwe (kulia) akiwa na mwandishi wa makala haya, Ibrahim Mussa (katikati) na mkewe Gazeti la Championi Ijumaa…

SOMA ZAIDI


Mistari 8 Ya Kwenye Kijiwe Nongwa

…naandika makala haya Kijiwe Nongwa umetazamwa na watu wasioupungua Milioni 1.   Wimbo huu wa Roma na Stamina ambao wamemshirikisha Nay wa Mitego ambao kwenye mtandao wa YouTube umepandishwa Septemba…

SOMA ZAIDI


Ma ex wa Diamond…Wanaigana au ni Madili Tu!

…Pamoja na kuigana huko, wapo wanaodaiwa kuwa wanatangaza nguo mbalimbali za madukani na nywele lakini wakati mwingine ni mashindano tu. Kwenye makala haya leo tutaona jinsi mastaa hawa walivyoweza kupiga…

SOMA ZAIDI

Mtandao wa Intaneti Wazidi Kukua kwa Kasi Tanzania

…mwisho mwisho za kuungana, hatua ambayo itaimarisha sekta hiyo nchini kote.   Akizungumzia hatua hiyo katika makala iliyochapishwa na Forbes, Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo alieleza kuwa kwa namna gani kuungana…

SOMA ZAIDI

Wasio na KONEKSHENI’ hawajaona ila imetosha!

…kuhusika, ndiyo yaliyonifanya niandike makala haya. Naizungumzia hii tabia ya baadhi ya wapenzi wanapokuwa faragha kupigana picha za utupu! Hakika hili linanishangaza sana na nahisi wanaofanya hivyo hawana akili timamu….

SOMA ZAIDI

WEMA YUPI UNATAMANI AWE WEMA WA LEO?

…ya kimapenzi haina nafasi katika makala haya ya leo lakini nataka tu umkumbuke yule Wema wa kipindi kile kabla hajachanganya kwenye mambo ya filamu. (Angalia picha namba moja). Baada ya…

SOMA ZAIDI

Wasanii wa Kenya, Bongo ni Love + Biznesi!

…ni nyumbani na akienda Kenya ni ukweni hivyo anapata sapoti kubwa kutoka kwa mashemeji zake. Funga kazi ni penzi la mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz. MAKALA NA AMRAN KAIMA, UWAZI…

SOMA ZAIDI


Wanaume Waongeza Safari Kukwepa Michepuko – 4

…ananichukulia kama mtu wa ziada kwake, hata tendo la ndoa ananipa siku akijisikia, muda mwingi yeye kachoka,” Frank wa Kigamboni alilalamika. MAKALA YATAENDELEA WIKI IJAYO USIKOSE! Stori: Mwandishi Wetu  …

SOMA ZAIDI


Ukikosea kuchagua mke/mume imekula kwako!

…‘unamind’ vitu vidogovidogo, matokeo yake kila mchumba unayempata unaona hafai. Weka akilini kwamba hakuna mtu aliyekamilika kwa asilimia 100. Ni hayo tu kwa leo, tukutane tena Alhamisi kwa makala nyingine….

SOMA ZAIDI


Dokta Aanika Chanzo cha Vifo vya Mapema!

…ambapo tutaangalia maelezo ya madaktari wa binadamu wa ndani na nje ya nchi kuhusiana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza na uhusiano na mtindo wa maisha. Makala: Joseph Shaluwa, Ijumaa Wikienda….

SOMA ZAIDI

Unachukua nafasi yako kama mke?

N I juma lingine tulivu kabisa tunakutana kwenye ukurasa huu ambao unapata fursa ya kusoma dondoo mbalimbali zinazoweza kuyaboresha maisha yako. Nikusihi tu uendelee kuwa mdau wa makala ninazoandika maana…

SOMA ZAIDI


Mbinu Mahususi za Kumpata Mke, Mume mwema!

…inatosha, tukutane wiki ijayo kwa mada nyingine nzuri. Unaweza kunifuata kwenye mitandao yangu ya kijamii. Instagram na Facebook natumia Erick Evarist, Twitter natumia ENangale. Makala na Erick Evarist DIAMOND Alivyopanda…

SOMA ZAIDI

KUNA VIUMBE WA AJABU WAISHIO ANGANI -8

…kitu kama hicho.   Mwaka 1997 kwenye mahojiano na Jarida la British Journal UFO Reality kulikuwa na makala kuhusiana na kile kilichotokea kwenye ardhi ya nchi hiyo. Ilisomeka: “Vyote kwa…

SOMA ZAIDI

Ifahamu figo yako inavyoweza kuharibika

…hivyo kumpa mwelekeo daktari juu ya kiwango cha utendaji kazi wa figo iwapo imeathirika. Katika makala haya tutatumia zaidi kifupisho cha CRF kumaanisha kushindwa kufanya kazi sugu kwa figo. Dalili…

SOMA ZAIDI

BETIKA LAWAVUTA KWA KASI WASOMAJI

…ya Global Publishers, hutolewa bure kwa watu wenye umri kuanzia miaka 18 na linaingia mtaani kila Jumatano. Gazeti hilo lenye kurasa 20 za rangi, mbali na kuwa na makala na…

SOMA ZAIDI

Fahamu hatua nne za mtu kujijua ana Ukimwi

…ya VVU (Virusi vya Ukimwi). Mtu anapopata magonjwa nyemelezi (opportunistic infections) ndiyo huwa tunasema mtu amepata ugonjwa wa UKIMWI au AIDS. Natumai kwa kupitia makala haya tutakuwa tumetoa mwanga kidogo…

SOMA ZAIDI