The House of Favourite Newspapers

 ROSE MUHANDO MAJANGA TENA!

LICHA ya hivi karibuni kusaidiwa na baadhi ya waimbaji wa Injili wa nchini Kenya alipokuwa anaumwa, habari za ndani zinadai kwamba kwa sasa muimbaji wa Injili Bongo, Rose Muhando ameharibu tena nchini humo kutokana na kutapeli baada ya…

ROSE MUHANDO AIANGUKIA SERIKALI

BADO afya ya mwimbaji maarufu wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando ni tete ambapo ameiangukia serikali imsaidie ili aweze kurudishwa nchini.   Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, msemaji wa Rose ambaye kwa sasa amelazwa…

ROSE MUHANDO ALAZWA ICU KENYA

DUA zinahitajika kutokana na madai kwamba, nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando amelazwa hospitalini nchini Kenya, katika chumba cha uangalizi maalum ‘ICU’, Risasi Mchanganyiko limedokezwa.  Chanzo makini kutoka nchi hiyo…

Rose Muhando Asakwa Apelekwe Soba

Na IMELDA MTEMA| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Taarifa mbaya ya kusikitisha kutoka kwa staa wa nyimbo za Injili, Rose Muhando zinadai kuwa, mwimbaji huyo anasakwa na uongozi wa Sober House ya Pederef ili waweze kumwokoa…

Rose Muhando ang’atwa na nyoka

Staa anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando. GLADNESS MALLYA Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM! MAJARIBU! Staa anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando yupo hoi kitandani baada ya kung’atwa na…

Rose Muhando.. Apata gonjwa…

Brighton Masalu MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando amepatwa na gonjwa la ajabu ambalo licha ya kumtesa kila siku, lakini vipimo katika hospitali anazokwenda mjini Dodoma, havioneshi kitu gani hasa anaumwa, Risasi…

Rais Samia Afanya Uteuzi TCU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Penina Muhando kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU). Prof. Muhando anachukua nafasi ya Prof. Mayunga Habibu Nkunya ambaye alifariki Julai…

Rose Mhando Shavu Dodo

STAA wa muziki wa Gospol Afrika Mashariki, Rose Muhando ameyashinda majaribu ya umauti na sasa ameibuka upya akiwa amenawiri ‘shavu dodo’ na kuwa na nuru usoni. Rose ambaye kwa sasa kazi zake nyingi anafanyia nchini Kenya, amerejea…