Jafo Azindua Magari 3 ya Huduma ya Tohara Mikoa Minne
WAZIRI wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI amezindua magari matatu yatakayotoa huduma ya Tohara katika mikoa minne ya kanda ya ziwa ikiwemo Shinyanga,Mwanza,Simiyu na Mara ambapo amesema kuwa mwanaume akipata tohara hawezi kupata maambukizi…