Browsing Category
Ajira
Je, wewe ni kijana mkazi wa Dar es Salaam? Nafasi Ya Kazi Ipo Hapa
Je, wewe ni kijana mkazi wa Dar es Salaam?
Je, unamiliki laptop yako na unaweza kutumia kwa ufanisi programu za Graphic Designing na Video Editing?
Je, upo tayari kufanya kazi nyakati za mchana na usiku kadiri kazi itakavyohitaji?…
Nafasi Ya Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Same
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same amepokea Kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu – ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupitia baru ayenye Kumb. Na. FA.228/613/01F/072 ya tarehe…
Nafasi za Kazi 21 MDAs & LGAs Mwisho wa kutuma maombi Mei 11, 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa…
Nafasi Za Kazi Cashier Supermarket, Sales, Secretary Dar
Cashier Supermarket, Shop Sales Mobile Shop, Shop Sales Ice Cream Shop, Loan Sales At Bank, Secretary
Nb: Only Female
Location: Only Dar Es Salaam City
Whatsapp Only: 0623872871
TRA Yatangaza Matokeo ya Usaili wa Kuandika 2025, Yapo Hapa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifa wasailiwa wote waliofanya usaili wa kuandika Machi 30, 2025 katika vituo tisa vilivyokuwa vimeandaliwa hapa nchini kwamba matokeo ya usaili huo yamekamilika na yanapatikana hapa…
Nafasi za Kazi za Kuuza Duka Mikocheni Plaza, Mlimani City Na Shoppers Mall
Job Junction Tanzania wametangaza nafasi za kazi za kuuza duka Shoppers Mikocheni, Palm Village, Mikocheni Plaza Na Mliman City Dar es Salaam Tanzania
VIGEZO: Wadada Pekee
1) Uwe smart /msafi/mwonekano mzuri
2) Uwe na Lugha…
Nafasi Ya Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Moshi
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba Ajira ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II. Tangazo hili ni baada ya kupokea kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb.…
Jeshi la Polisi Latangaza Ratiba ya Usaili kwa Waombaji wa Ajira 2025
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camilius Wambura anawatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE - RECRUITMENT PORTAL) kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28/4/2025 saa…
Nafasi Za Kazi 7 Taasisi Mbalimbali Za Umma, Mwisho wa Maombi Aprili 23, 2025
Taasisi ya Maji (WI) na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama Shinyanga (KASHWASA), kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), wanakaribisha Watanzania wenye sifa, weledi, na nia ya dhati kuomba nafasi saba…
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Ngara, Mwisho wa Maombi Aprili 24
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/288/01/09 cha…
Nafasi Ya Kazi Mamlaka Ya Udhibiti Wa Nafaka Na Mazao Mchanganyiko (COPRA)
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mengine (COPRA), kwa kushirikiana na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, anawaalika Watanzania wenye sifa stahiki, walio na uzoefu, weledi, ufanisi na uhamasishaji wa…
Nafasi za Kazi 48 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mwisho wa maombi Aprili 10, 2025
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa zinazostahili ili kuzingatiwa kwa ajira ya haraka kujaza nafasi 48 za kazi za kitaaluma kama ifuatavyo:
Mwisho wa kuwasilisha maombi ni tarehe 10…
Nafasi Za Kazi 51 MDAs NA LGAs, Mwisho maombi Aprili 7, 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali pamoja na Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa (MDA’s & LGA’s) anakaribisha maombi ya kazi…
Nafasi Za Kazi 57 Taasisi Mbalimbali Za Umma, Mwisho wa maombi Aprili 3, 2025
Chuo cha Maji (WI), Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Taasisi ya Ardhi Morogoro (ARIMO), kwa…
Nafasi Ya Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Moshi, Mwisho wa maombi Machi 30
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba Ajira ya Mwandishi Mwendesha Ofisi daraja la II.
Tangazo hili ni baada ya kupokea Kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb. Na.…
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Kyerwa, Mwisho wa maombi Aprili 5, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa amepokea kibali cha Ajira mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu - Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na. FA.97/288/01/09…
Nafasi Za Kazi Chuo Kikuu Cha Afya Na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)
Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS) kilianza kama Shule ya Tiba ya Dar-es-Salaam mwaka 1963. Shule hiyo ilibadilika na kuwa Kitivo cha Tiba cha Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam mwaka 1968. Kitivo hicho…
Jeshi La Polisi Latangaza Nafasi Za Ajira Kwa Mwaka 2025
Dodoma, 20 Machi 2025 – Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye sifa zinazohitajika, ili kujiunga na jeshi hilo kwa mwaka 2025.
Kwa mujibu wa tangazo rasmi lililotolewa na Mkuu wa Jeshi la…
Nafasi Ya Kazi Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT)
Taasisia ya Taifa ya Usafirishaji (NIT), kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inawaalika Watanzania wenye uwezo, wachapakazi, wenye uzoefu na sifa stahiki kujaza nafasi moja (1) ya kazi iliyoainishwa hapa chini. Mwisho…
Waliofaulu Usaili Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Waitwa Kazini, Majina Yapo Hapa
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili Feb 23, 2025 kuwa matokeo ya waomba kazi waliofaulu usaili huo wanatakiwa kuripoti siku ya Jumanne…
Nafasi Za Kazi 17 Wakala Wa Usalama Na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA)
Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye uwezo, wabunifu, uzoefu na sifa stahiki kuomba nafasi kumi na saba (17) za kazi zilizoainishwa hapa chini.…
Nafasi Za Kazi 30 Taasisi Ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Na Taasisi Ya Tiba Ya Mifupa Na Ubongo…
Taasis ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), kwa kushirikiana na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), wanakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki na wenye ari ya kufanya kazi…
BOT Yatoa Majina ya Usaili wa Mahojiano Machi 21, 24 na 25, Ratiba Ipo Hapa
BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) Machi 14, 2025 imetoa majina katika tovuti yake waliopita katika usaili wa maandishi, huku ikiwaita katika usaili wa mahojiano na vitendo kwa baadhi ya kada.
“Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa…
Nafasi Za Kazi Taasisi Ya Uongozi (Uongozi Institute), Mwisho ya Maombi Machi 26, 2025
Taasisii ya UONGOZI, kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inawaalika Watanzania wenye sifa na ustadi unaohitajika kuomba nafasi nane (08) za kazi zilizo wazi zilizoainishwa hapa chini.
-PROGRAMME DEVELOPMENT OFFICER…
Nafasi Za Kazi BRELA Mwisho wa maombi ni leo Machi 11, 2025
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha maombi kutoka kwa waombaji wenye sifa zinazostahili wanaotaka kujaza nafasi tatu (3) za kazi…
Nafasi za Kazi 231 Wizara ya Afya, Mwisho wa kutuma maombi Machi 19, 2025
Wizara ya Afya anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa
kujaza nafasi 231 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa…
Nafasi Za Kazi Taasisi Ya Utafiti Wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI)
Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI), kwa kushirikiana na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inakaribisha wataalamu wenye sifa za juu, wenye matokeo bora, wanaojituma, waadilifu, wabunifu, na wenye sifa stahiki kutoka…
Nafasi Za Kazi 13 Za Mkataba Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE)
Maombi yanakaribishwa kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uhitaji unaostahili ili kujaza nafasi za kazi kwa mkataba wa mwaka mmoja (1), unaoweza kuongezwa mara moja, katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE). Chuo cha Elimu ya Biashara…
Nafasi Za Kazi 31 Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT), Mwisho Maombi Machi 2
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wanakaribisha Watanzania wenye bidii, wanaojituma, wenye uzoefu, na sifa zinazofaa kujaza nafasi thelathini na moja (31) za kazi zilizoainishwa hapa chini.
Mwisho wa kutuma maombi ni Machi 2,…
Majina Walioitwa Kwenye Usaili Mamlaka Ya Usimamizi Wa Wanyamapori (TAWA)
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 06-03-2025 hadi…
Nafasi za Kazi 10 Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, Mwisho wa maombi Machi 6, 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kuomba nafasi ya kazi zilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA.…
Nafasi za Kazi 1,596 TRA Kada Mbalimbali, Mwisho wa maombi ni leo Feb 19
TRA inapenda kuajiri watumishi wenye sifa, uwezo na maadili kushika nafasi za kazi katika Idara ya Mapato ya Ndani, Forodha na Ushuru, Usimamizi na Utawala wa Rasilimali Watu, Huduma za Sheria, Menejimenti ya Manunuzi, Utafiti na…
Nafasi Za Kazi 2,611 MDAs NA LGAs Mwisho wa Maombi Februari 20, 2025
Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu mbili mia sita kumi na moja (2,611) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Mwisho wa kutuma maombi ya…
Nafasi za Kazi 72 TARI, NIRC, NSI, EWURA na PSRS Maombi Mwisho leo Feb 17
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Taasisi ya Taifa ya Sukari (NSI), Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), na Shirika la Mzinga, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma…
Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili Benki Kuu Ya Tanzania, Yapo Hapa
Naibu Gavana Utawala na Udhibiti wa Ndani wa Benki Kuu ya Tanzania anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili wa kuandika/mchujo (Aptitude Test) unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15-02-2025 hadi 24-03-2025.…
Nafasi Za Kazi 7 Shirika La Maendeleo Ya Petroli Tanzania (TPDC)
Kwa niaba ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki na wenye ari ya kazi kujaza nafasi saba (7) za ajira zilizotajwa hapa chini…
Tangazo la Nafasi 8,000 za Mafunzo ya Ufundi Stadi katika Fani Mbalimbali
Fomu za maombi zinapatikana katika vyuo vyote vilivyopitishwa na Serikali kutoa ya Ufundi Stadi katika Fani Mbalimbali
ATCL Yatangaza Nafasi 59 Za Ajira Kwa Watanzania
Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imetangaza nafasi 59 za ajira kwa Watanzania wenye sifa, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ufanisi wa uendeshaji na kuendana na kasi ya upanuzi wa huduma zake.
Nafasi hizi zinahusisha idara…
Nafasi Za Kazi 14 Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA)
Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), kinakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki na wenye nguvu kazi kushiriki katika kujaza nafasi kumi na nne (14) za ajira…
Walimu 122 Waitwa Kazini Temeke, Mji Kibaha na Kinondoni, Majina Yapo Hapa
Sektretarieti ya ajira imetangaza majina 122 kuingia katika ajira mpya serikalini Februari Mosi 2025.
Kwa mujibu wa tangazo hilo lililochapishwa katika tovuti ya sektretarieti ya ajira, 95 ni walimu wa kada mbalimbali, ambayo ni sawa…