×

Habari

Rais Samia Awajulia Hali Sheikh Rashid na Pacome Hospitali ya Aga Khan Dar – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametembelea Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam kwa...

READ MORE

Maelfu Wafurika Mitaani Tehran Kuaga Mwili wa Ayatollah Ali Khamenei- (Picha +Video)

Msafara wa mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei,  leo Julai 6, 2026 umepitia mitaa ya mji...

READ MORE

Video: Polisi Yafichua Mpango wa Siri wa Kuvuruga Amani Nchini

Jeshi la Polisi Tanzania limefichua kuwepo kwa mipango ya siri ya vikundi vya watu wachache wanaotumia mitandao ya kijamii kuhamasisha...

READ MORE

Dkt. Munisi Ahimiza Watanzania Kuimarisha Mahusiano ya Kijamii

Dar es Salaam, Julai 5, 2026 – Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Dkt. Eveline...

READ MORE

MIXX na TCDC Waimarisha Ushirikiano wa Kidijitali Kuinua Huduma za Kifedha kwa Wakulima

Dodoma, Julai 5, 2026 – Mamilioni ya wakulima nchini yanatarajiwa kunufaika na huduma za kifedha za kidijitali kufuatia kuendelezwa kwa...

READ MORE

Vifo vya Tetemeko Venezuela Vafikia 3,342, Maelfu Wabaki Bila Makazi na Misaada

Idadi ya watu waliofariki kutokana na matetemeko mawili makubwa ya ardhi nchini Venezuela imeongezeka na kufikia 3,342, kwa mujibu wa...

READ MORE

Airtel Africa Yaokoa Lita Milioni 9.1 za Dizeli, Yaongeza Kasi ya Uendelevu Barani Afrika

Kampuni ya Airtel Africa plc, inayotoa huduma ya mawasiliano ya simu na huduma za kifedha kwa njia ya simu katika...

READ MORE

Waziri Mkuu Aelekea Paris Kumwakilisha Rais Samia Katika Maadhimisho ya Kiswahili Duniani

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Julai 6, 2026, kuelekea Paris, France, kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Dkt. Mwigulu: Serikali Kuboresha Upatikanaji Wa Mikopo Kwa Vijana

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaandaa maboresho ya kisera na kisheria yatakayowaondolea vijana wajasiriamali kikwazo cha muda mrefu...

READ MORE

Rais Samia Aitunuku TBL Tuzo ya Walipakodi Bora Sekta ya Uzalishaji

Dar es Salaam: Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) imeibuka mshindi wa Tuzo ya Rais ya Walipakodi Bora katika Sekta...

READ MORE

Vodacom Foundation Yawezesha Wanawake na Vijana Kupitia Mradi wa TELS

Katika kuadhimisha Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation Sandra...

READ MORE

Watoto wa Ali Khamenei Waonekana Mazishini, Mojtaba Azuiwa kwa Sababu za Usalama

Maysam Khamenei, Massoud Khamenei na Mustafa Khamenei walionekana mstari wa mbele wakati wa sala ya mazishi ya baba yao, Ali...

READ MORE

Airtel Yaunganisha Afya, Mazingira na Ustawi wa Wafanyakazi Kupitia Great Ruaha Marathon 2026

Kampuni ya Airtel Tanzania imeimarisha huduma za mawasiliano katika mashindano ya Great Ruaha Marathon 2026 yaliyofanyika Julai 3 na 4...

READ MORE

Jumba la Bilionea wa India Lenye Ghorofa 27, Wafanyakazi 600 Lazua Gumzo Duniani (Picha +Video)

MAKAZI ya bilionea wa India Mukesh Ambani, yanayojulikana kama Antilia, ni miongoni mwa nyumba za kifahari zaidi duniani. Jengo hilo...

READ MORE

Mamilioni Wamiminika Kumuaga Kiongozi Mkuu wa Zamani wa Iran Ali Khamenei

Tehran, Iran – Maelfu kwa maelfu ya waombolezaji wamekusanyika katika mji mkuu wa Iran, Tehran, kwa siku ya pili ya...

READ MORE

TRA Yavunja Rekodi Ya Makusanyo, Yakusanya Sh. Trilioni 37.96 Kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeweka rekodi mpya katika ukusanyaji wa mapato baada ya kukusanya jumla ya Shilingi trilioni 37.96...

READ MORE

Hotuba ya Trump Yatawala Maadhimisho ya Miaka 250 ya Marekani

Washington, D.C., Marekani – Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani inaingia katika kile alichokiita enzi ya dhahabu huku akisisitiza...

READ MORE

GF Group Yakutana na Wanafamilia kusherekea ushindi wa tuzo Sabasaba

Kampuni ya GF Group imeandika historia kwa kutwaa tuzo ya Banda Bora kwa Ujumla katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa...

READ MORE

JWTZ Yatoa Onyo Dhidi ya Wito wa Vurugu, Yawahimiza Wananchi Kudumisha Amani – Video

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza...

READ MORE

Justin Bieber Aweka Rekodi kwa Mafanikio ya Kifedha na Muziki

Nyota wa muziki wa pop duniani, Justin Bieber, ameendelea kujijengea umaarufu mkubwa si tu kupitia muziki bali pia kupitia utajiri...

READ MORE

GF Trucks Yaibuka Kinara Sabasaba, Yatwaa Tuzo ya Banda Bora Tena

Kampuni ya GF Trucks imesema katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) imepata mafanikio...

READ MORE

TIRA Yazindua Rasmi Kijiji cha Bima katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Maonesho ya Saba Saba

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imezindua rasmi shughuli za Kijiji cha Bima katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya...

READ MORE

Mwili wa Dereva wa Heche Wasafirishwa Kwenda Tarime kwa Mazishi (Picha +Video)

Mwili wa aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, Suez Dani Maradufu, umekabidhiwa kwa ndugu na viongozi wa...

READ MORE

Rais Samia: Sabasaba Ni Daraja Linaloiunganisha Tanzania na Dunia (Picha +Video)

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) yameendelea kuwa daraja...

READ MORE

Fahamu Maajabu ya Magari ya Jetour na Sababu Zinazoyafanya Yazidi Kupata Umaarufu

Katika miaka ya hivi karibuni, magari ya Jetour yameendelea kujijengea umaarufu mkubwa katika soko la kimataifa na Afrika, ikiwemo Tanzania....

READ MORE

Advela na Mama Yake Wamshukuru Shigongo kwa Kuwagharamia Matibabu ya Miguu – Video

Mtoto Advela pamoja na mama yake, Melisiana, wamemtembelea Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, kumshukuru kwa msaada alioutoa uliowezesha mtoto huyo...

READ MORE

Lissu Ataka Kulipwa Fidia Kwa Kudai Kesi Yake Imecheleweshwa Kwa Makusudi – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameiomba Mahakama ya Rufani ya Dar es Salaam iamuru Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kumlipa fidia...

READ MORE

Fungua Milango Ya Hazina Za Misri Na Fury Of Anubis Prize Drop

Katika ulimwengu wa burudani za kidijitali, kuna nyakati ambazo mchezo mpya huibuka na kubadili kabisa mazungumzo. Hiyo ndiyo hali ilivyo...

READ MORE

Mwili wa Kiongozi Mkuu wa Iran Ulivyowasili Tehran Kabla ya Maziko ya Taifa – Video

Mwili wa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, ulivyofika katika eneo la Grand Mosalla jijini Tehran siku ya leo Ijumaa...

READ MORE

Polisi: Ushirikiano na Makampuni ya Ulinzi Ni Silaha Dhidi ya Uhalifu

Jeshi la Polisi limetoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano kati yake na makampuni binafsi ya ulinzi ili kuongeza ufanisi katika...

READ MORE

Video: Mahakama ya Rufaa Kusikiliza Maombi ya DPP Dhidi ya Lissu leo

Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo, Julai 3, 2026, inatarajiwa kusikiliza maombi ya marejeo yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)...

READ MORE

Uswisi Waandika Historia kwa Kutinga 16 Bora Baada ya Kuiondoa Algeria Kombe la Dunia

Switzerland imeandika historia kwa kuvunja ukame wa miaka 88 wa kushinda mchezo wa hatua ya mtoano wa Kombe la Dunia...

READ MORE

Vodacom Yang’ara Uzinduzi wa Maonesho ya 50 ya Sabasaba 2026, Yatwaa Tuzo Mbili

  Hafla hiyo ilihudhuriwa na Marais wawili, Dkt. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Daniel Chapo wa Msumbiji, ikisisitiza umuhimu...

READ MORE

Serikali Yasisitiza Utekelezaji wa Kima cha Chini cha Mshahara

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Munisi, amesema ushirikiano wa karibu kati ya...

READ MORE

Serikali Yaweka Mkazo Kuimarisha Biashara kati ya Tanzania na Indonesia

SERIKALI imesema kuwa imedhamiria kuhakikisha ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Indonesia unaleta matokeo kwa kuongeza thamani ya biashara...

READ MORE

Iran Yatoa Onyo Kali kwa Marekani na Israel Kabla ya Mazishi ya Kiongozi Mkuu – Video

Iran imeendelea kuongeza joto la kisiasa na kiusalama baada ya kutoa onyo kali kwa Marekani na Israel, ikisema itajibu kwa...

READ MORE

Jaji Mkuu Atoa Neno Utekelezaji wa Sheria Ya Usalama Na Afya Kazini

Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, akiwasilisha hotuba yake ya ufunguzi wa mafunzo ya usalama na afya kazini...

READ MORE

Fahamu Jinsi Stoberi Inavyosaidia Kupunguza Uzito na Kuimarisha Afya

Stoberi (strawberry) ni moja ya matunda maarufu duniani kutokana na ladha yake tamu na faida zake nyingi kiafya. Licha ya...

READ MORE

India Yafanikisha Majaribio ya Sindano ya Uzazi wa Mpango kwa Wanaume

Baada ya zaidi ya miaka saba ya utafiti wa kina wa kisayansi, watafiti nchini India wamefanikiwa kukamilisha majaribio ya sindano...

READ MORE

Makamu wa Rais Awataka Watumishi wa NEMC Kufanya Kazi kwa Uadilifu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasihi watumishi wa Baraza la Taifa la...

READ MORE