The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Global Publishers

Betika ndiyo habari ya mjini

WASOMAJI wa Gazeti la Betika, wameendelea kutoa ushuhuda wao juu ya gazeti hilo huku wakisema ni habari ya mjini kwa sasa katika masuala yote ya kubeti. Gazeti hilo lenye kurasa 20 za rangi, hutolewa bure kwa watu…

GLOBAL YATUNUKIWA TUZO NA DSJ

Chuo cha Uandishi wa habari cha Dar es Salaam (DSJ) jana Ijumaa Dec 21 kilifanya Mahafali yake ya 23 na kutuo tuzo mbalimbali kwa wadau wake, wakiwemo Global Publishers kwa kutambua mchango wake katika kuwapa nafasi wanafunzi…

Kangi Lugola: Mashoga Wapo Salama

WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini, Kangi Lugola amesema kuwa wapenzi wa jinsia moja hawapo (mashoga) hatarini nchini humo licha ya ushoga kuwa ni kosa la jinai nchini Tanzania, wanaojihusha na vitendo hivyo hawatishiwi maisha na wala…

Hawa: Diamond Mungu Atakulipa

MSANII wa muziki ambaye aliwahi kuwa mwandani wa Mbongo- Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hawa Mayoka ‘Hawa wa Nitarejea’ amemfungukia staa huyo na kusema Mungu atamlipa kwa kile alichomfanyia. Akizungumza na Ijumaa…