The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Shilole

Nuh: Sijawahi Kumchukia Shilole

“Nipe-leke kwa mganga na mimi nataka wanga… Maana mapenzi yamenikoroga kinoma… Anichanje chale mwili mzima… Nisimkumbe hata jina… Yule gaidi hasidi wa moyo wangu… Haya mapenzi basi nimeyavulia shati… Kupendwa ni…

Shilole, Esha Kimeumana

MSANII wa muziki wa Bongo Flava na mmiliki wa mgahawa wa Shishi Food, Shilole amedai kwamba hawezi kujibizana na mtu mitandaoni kiholela holela tu maana yeye ni brand kubwa kwa sasa. Shilole ametoa kauli hiyo kufuatia…

Shilole: Hapa Nimetulia Tulii

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni mjasiriamali Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kwa sasa ametulia tuli kwenye penzi lake jipya na Rommy3D. Shilole ambaye ametwaa Tuzo ya Mjasiriamali Bora wa Kike wa Mwaka Kidijitali kwenye…

Irene Paul Humwambii Kitu kwa Shilole

STAA wa filamu za kibongo, Irene Poul amewakata vilimi mastaa wa kike wa Bongo kwa kuwaambia kuwa hakuna staa mkubwa Bongo kama Zuwena Mohammed ’Shilole’. Akizungumza na AMANI, Irene amesema kuwa mwanamama Shilole ni mfano wa kuigwa…

Ndoa ya Shilole Barazani

MPIGA picha maarufu wa mastaa mbalimbali Issa Juma ‘ Rommy 3D’ ambaye kwa sasa ndio mpiga picha binafsi wa mjasiriamali na msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘ Shilole’, amesema mwisho wa mwaka huu kitaeleweka kuhusu suala la yeye na…

Shilole: Nina Ujauzito

USIKU wa jana katika hafla ya mama-kijacho, Aunty Ezekiel, muigizaji wa filamu na mjasirimali Shilole amefunguka kuwa na yeye ni mama-kijacho mtarajiwa. Alisema maneno hayo alipokuwa akiongea na wageni waalikwa katika shughuli hiyo…

Shilole, Uchebe Hapatoshi

BAADA ya penzi lao kufi kia ukingoni kwa maneno mengi, mwanamama anayekiwasha kwenye Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ na aliyekuwa mumewe wa ndoa, Ashraf Uchebe, hali ni tete kiasi kwamba, sasa hapatoshi mjini. Kila…

Shilole Ayapa Kisogo Mapenzi!

Msanii na mmiliki wa Shishi Food anayefanya poa kwenye miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, kwa sasa ameyapa kisogo mapenzi na badala yake, yuko bize na kazi ili heshima yake isitetereke. Katika…