The House of Favourite Newspapers

Hadithi ya Eric Shigongo: Dimbwi la Damu-07

“Shabir hebu  mwache   mimi nitaongea naye!” Alisema Leah  alipomwangalia Victoria na kushikwa na huruma ! Aligundua kitu  walichokuwa wakikifanya yeye na mume wake hakikuwa sahihi  ukizingatia  wema  ambao   wazazi wa Victoria walimfanyia…

Mama Eric wa Shigongo Kuagwa Leo Dar

KUFUATIA kifo cha Mama mzazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric James Shigongo, marehemu Bi. Asteria Kahabi Kapela aliyefariki dunia juzi Ijumaa, Julai 27, 2018 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Muhimbili …

Eric Shigongo: Mungu Amefanya!

KUFUATIA kifo cha mama yake mzazi, Bi. Asteria Kapera aliyeaga dunia alfajiri ya leo katika Taasisi ya Jakaya Kikwete Muhimbili alikokuwa akitibiwa, mtoto wa marehemu, Eric Shigongo amesema neno hili kwa mama yake na waliomuuguza. …