The House of Favourite Newspapers

Chunga Sana Ndoa Haitaji Kuzoeana

NA ERICK EVARIST | RISASI JUMAMOSI | LOVE STORY VIPO vitu vingi ambavyo kadiri unavyovifanya sana, ukavizoea, vinaleta tija lakini asikwambie mtu ndoa haihitaji mazoea. Ndoa inatakiwa kuwa mpya kila siku. Kama ni kujifunza, kwenye…

Fahamu Urafiki wa Nelson Mandela na Mwl. Nyerere

UKIZUNGUMZIA mashujaa wa Afrika ni lazima kutaja majina ya Kwame Nkrumah wa Ghana, Patrice Lumumba wa Kongo, Benjamin Nnamdi Azikiwe na Abubakar Tafawa Balewa wa Nigeria, na wengine wengi, orodha inaweza kuwa ndefu lakini si ndefu kiasi…

Backstreet Boy’s Wamerejea?

WAHENGA mpoo!, basi lile kundi maarufu la muziki wa Pop na Rnb, Backstreet Boys umeambiwa linajifua kurejea tena kwenye game baada ya kutikisa kuanzia miaka ya 90. Kundi hilo lililoanzishwa huko mjini Orlando, Florida nchini Marekani…

Utamu Usioisha Hamu -6

ILIPOISHIA JANA... Alijikuta akizidi kuchanganyikiwa kwa jinsi bibie alivyovutia.Monica alitembea utadhani anaionea huruma aridhi ya Mungu kuikanyaga!. Alijua kutembea kwa maringo, hiki nacho kilimduwaza Saka. Wanaume wengi wamuonapo…

Harmo, Zari Mambo Hadharani

YAPATA zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu ilipofahamika rasmi kwamba, supastaa wa Bongo Fleva; Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’, amejitoa kwenye lebo ya muziki iliyomlea ya Wasafi Classic Baby (WCB) iliyo chini ya mwanamuziki Nasibu Abdul Jumaa…

Zari minyoosho kama yote!

WAKATI upande wa pili huku wakiwa bize na mambo yao ya kusubiri mtoto na nini na nini, huko Sauz mambo ni moto kwani aliyekuwa mpenzi wa Mondi, Zari naye amezidi kutupia picha za kimalovee akiwa na mwanaume anayedai kuwa ni mumewe.…

BWANA WA ZARI AMFANYIA KUFURU TIFFAH!

DAR ES SALAAM: Juzi Jumanne (Agosti 6, 2019), binti wa staa wa Afro- Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanamama mjasiriamali wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ aliangushiwa bonge la…

Jux + Vee Money = Project?

Haya mapenzi basi ya kisela, Leo raha kesho wanisema, Haya mapenzi basi ya kisela, Leo raha kesho wanikera, Haya mapenzi basi ya kisela, Si ulisema kamwe hutonitenda, Moyo wangu hauna uwezo tena, Kwani mapenzi…