Zaidi Ya Bilioni 1.4 Yajenga Ofisi Ya Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Mara, Sagini Atoa Neno
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb) Jumanne Sagini amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara katika eneo la Manispaa ya Musoma wenye thamani ya shilingi Bilioni…