The House of Favourite Newspapers

Unampenda Halafu Hakuelewi!

ASIKWAMBIE mtu, maumivu ya kumpenda mtu halafu yeye akawa hakuelewi huwa yanauma sana. Unateseka kisaikolojia, unafanya kila unalotakiwa kufanya ili aweze kukuelewa lakini mwenzako wapi. Ni kama vile unampigia mbuzi gitaa, hachezi…